Wanawake acheni kuvaa mawigi

Wanawake acheni kuvaa mawigi

Vikapu Vya Sadaka Hivi Hapa: 0786100772, 0673100772, 0757856336 Wee Weka Tu na Mungu Akubariki Sana
Hahaha. Sasa ngoja kwanza, ujue makanisa mengi makongwe yanamiliki shule, mahospitali, na huduma mbali mbali za jamii. So, hata ukitoa sadaka, unajipa moyo inaendea kusaidia mahali.

Wewe sadaka unahitaji za nini Mchungaji, maana wengi siku hizi ni za kununulia Hummer, Chopa, na maisha ya kifahari. Kuwa muwazi tu Mchungaji, na Mungu atakubariki.
 
Tunahtj Kununua Luku, Betri Za Mike, lakini hata vocha unajua sisi wachungaji kondoo wanatubip wanahtj maombezi wakijua tunazo hela, na kama hivi naweza kupata MB ili niwashauri hapa jf. naamini umeelewa sasa? haya tuma usiwe km *evelyn salt* ameahidi hajatimiza. mungu akubariki
 
Nadhani hawajakwambia uwafuate pia, so just chill man

Pesa ndogo naomba unielewe huwa cwafuati tunakuwanao ktk magari ,maofisini hata kupishana nao wakuwa na unpleasant smell cjui nimafuta wanapaka yanaitwaje vile?team natural from hair to dark skin.
 
Tunahtj Kununua Luku, Betri Za Mike, lakini hata vocha unajua sisi wachungaji kondoo wanatubip wanahtj maombezi wakijua tunazo hela, na kama hivi naweza kupata MB ili niwashauri hapa jf. naamini umeelewa sasa? haya tuma usiwe km *evelyn salt* ameahidi hajatimiza. mungu akubariki
Hahaha. We Mchungaji power bank na bundle zinakutosha kufanya huduma.

Sema inakuwaje sasa unatoa siri za kondoo wako? Watakuogopa ujue.
 
Binafsi siwezi kutoka bila wigi kama siyo basi Nina weaving
Wigi Nina kuanzia la Rihhana mpaka LA shontelle
Spoken with so much confidence. Where do they breed your kind? Tunawahitaji hata watano tu kama wewe.
 
Back
Top Bottom