Wanawake 1,000 wafunga siku 3, wamuombea Dr. Magufuli

Wanawake 1,000 wafunga siku 3, wamuombea Dr. Magufuli

SI kale kamchezo ka vigodoro wanalala chini na kukata vinyeo vyao bila aibu au hujui?
Aaaa,vigodoro,maana ulisema vigodolo,sasa nikasema ni vinyama gani hivi tena?

Ila wewe ni mwanamke halafu unadharau wanawake wenzio,ni ajabu sana.Hata hivyo wanaofanya ujinga huo ni wale wasiojitambua,sio wote.Wanawake walio ndani ya Kristo Yesu hawafanyi ujinga huo.
 
asavali sasa umenyongea kitu cha mahana sana.
 
This is what it means to be an underdeveloped country everything is underdeveloping.

Sent from my Blackberry DTEK70 using JamiiForums mobile app
 
WANAWAKE 1000 WAFUNGA SIKU TATU, WAMUOMBEA DK MAGUFULI

Wanawake zaidi ya 1000 kutoka ndani na nje ya nchi wamekutana jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumuombea Rais John Magufuli huku wakiwa wamefunga siku tatu mfululizo.
Pia wanawake hao wanaoiombea nchi amani na kuiepusha jamii na mmomonyoko unaodaiwa kuwa sababu ya kuongezeka maovu ikiwamo ufisadi na mimba mashuleni....http://www.mwananchi.co.tz/…/1597578-4026338-131…/index.html

Nisawa na kuomba shetani awe malaika
 
Back
Top Bottom