Wanawake 1,000 wafunga siku 3, wamuombea Dr. Magufuli

hao kama wanatoka nchi za nje itakuwa wana obesity wanataka kupunguza weight. yani mtu kabisa ufunge sababu ya magu? kisa na mkasa? yani watu wanavyotaabika mtaani kazima ajira tu za waalimu wa art. afu wewe unafunga kumuombea nini? au mnataka tu laana
 
Akili yako nyembamba sana!!! ...maombi yanakava sehemu kubwa

unaweza kumuombea kiongozi wako ajaliwe busara na hekima pia.
 
Hii kukuchunia inatakiwa iwe endelevu mana nakudaka sehemu kibao unatongoza warembo wa jf
hamna bwana.. ila ngoja nikuulize mbona kila sehem ninayorusha ndoani unanidaka? unajuaje???????? hadi sku hiz nimeacha
 
hao kama wanatoka nchi za nje itakuwa wana obesity wanataka kupunguza weight. yani mtu kabisa ufunge sababu ya magu? kisa na mkasa? yani watu wanavyotaabika mtaani kazima ajira tu za waalimu wa art. afu wewe unafunga kumuombea nini? au mnataka tu laana
Sasa we Man of God gani unashangaa wanawake kuombea taifa hata kwnye biblia imeandikwa tuombee taifa la Israeli na watauwa wake
Hata kama katunyima ajira inabidi tumwombee Mungu ampe hekima ata ya kuongoza mambo mengine vzr, na nchi yetu iwe na Amani
 
hamna bwana.. ila ngoja nikuulize mbona kila sehem ninayorusha ndoani unanidaka? unajuaje???????? hadi sku hiz nimeacha
[emoji23] [emoji23] kwani hujui me mdogo aje Mshana apa kashanipa maujanja
Na nilishakwambia we jua kila post yako naisoma
 
Si wote wamwitao Bwana Bwana ni wa Bwana kweli. Wengine ni matapeli tu na wengine ni kujipendekeza tu.
 
Tunaomba CV ya hao wamama. Ukute ni UWT-Umoja wa wanawake Wasioolewa Tanzania.
 
Tumbe hata Shetani huwa anaombewa afanikiwe! Makubwa haya.
 
Kumbe hata Shetani huwa anaombewa afanikiwe! Makubwa haya.
 
Back
Top Bottom