Wanawake 1,000 wafunga siku 3, wamuombea Dr. Magufuli

Wanawake 1,000 wafunga siku 3, wamuombea Dr. Magufuli

WANAWAKE 1000 WAFUNGA SIKU TATU, WAMUOMBEA DK MAGUFULI

Wanawake zaidi ya 1000 kutoka ndani na nje ya nchi wamekutana jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumuombea Rais John Magufuli huku wakiwa wamefunga siku tatu mfululizo.
Pia wanawake hao wanaoiombea nchi amani na kuiepusha jamii na mmomonyoko unaodaiwa kuwa sababu ya kuongezeka maovu ikiwamo ufisadi na mimba mashuleni....http://www.mwananchi.co.tz/…/1597578-4026338-131…/index.html

Hao ni wajinga kma wewe vuvuzela,wamefunga kwa kukosa pesa ya chakula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom