Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,791
- Thread starter
- #81
Mh kivip unapiga mishe za mtaani baada ya saa tisa auHapana sipati per day , Kiufupi mimi sina familia niko tu mwenyewe 🤣🤣matumizi yangu ni madogo ,vile vile nafanya kazi usiku na mchana ...Kwa mwez naweza kupumzika siku 2 zilizobaki zote napiga kazi .