Wanaume

Wanaume

Duh nilishawai sahau mwamvuli wa watu niliufwata chap

Ila hiyo ya wallet ni mtazamo wako tu
Mkuu, tembea ujionee nenda huko duniani moja ya kuonesha upo civilized unapo fanya cash payment unapo toa wallet unaonyesha ume be CIVILIZED

Kwa Sasa ni kuwa na wallet japo kwa Sasa dunia ime enda mbele Sana Sana kiasi kwamba huitajiki kua na wallet maana Kuna wallet nyingi za ki digital.
 
Huwa na scan au na chanja kadi inatgemea na nipo wapi
 
Hivi ni mimi tu ndio nashindwa kutembea na 🪪 wallet au nikitembea na wallet basi nita sahau pahala au nitaangusha naona kubeba wallet naona kama ni shida fulani nimeenda nishazoea sasa vitambulisho pesa naweka kwenye mfumo wa jeans imepita hivi sitembei kabisa na wallet hili swala limenishinda kabisa

Kutembea bila kuweka mikono mfukoni sio yote no mkono mmoja lazima niweke mfukoni hii nayo siwezi acha ni kitu imenishinda kabisa kuacha naona ni mazoea

Je ni kwangu tu au
Hiyo ya wallet hata mm imenishinda. Yaani naonaga kama usimbufu mara nifungue wallet ndo nitoe pesa au kitambulisho.
 
Back
Top Bottom