Hirizi au Kinga mkuuNdio nini power bank au una maanisha kondomu?
Hirizi au Kinga mkuuNdio nini power bank au una maanisha kondomu?
No lazima nikifa sehemu lazima nitaitoa niiweke mezani ili nikae vzr sasa hapo ndio kimbembe lazima nisahauHio wallet unasahau kwani unabeba kama pochi ama
Unaangushaje kwan unabeba mkononi kama wakike?Mh hongera mimi lazima niangushe
Usumbufu sana ukikaa vibaya unaangushaHiyo ya wallet hata mm imenishinda. Yaani naonaga kama usimbufu mara nifungue wallet ndo nitoe pesa au kitambulisho.
Haya 🥹Hahahaha unazingua ujue 😂😂
Au wanaita electric fenceNdio nini power bank au una maanisha kondomu?
Hapo umenifungua 😂😂😂 wakina mshanaHirizi au Kinga mkuu
Ntakuchek baadae kikashaniHaya 🥹
Nikitembea na laki basi ,nimeweka hata mifuko mitatu tofauti....Nakaa na pesa ndani hata milion 10 ila naziweka tofauti.Kwhy unatembea nayo kama boshe i tu?
No nikifika sehemu lazima niitoe niweke vzr sasa hapo lazima nisahau tu na nishawai angusha wallet na sikumbuki niliangushia wapi na ilikuwaje na ilikuwa mfukoniUnaangushaje kwan unabeba mkononi kama wakike?
😂😂😂 kwamba wanaogopa chuma uleteAu wanaita electric fence
Ahahha karibNtakuchek baadae kikashani
Mh unakaaje na pesa nyingi ivyo tena ndani?Nikitembea na laki basi ,nimeweka hata mifuko mitatu tofauti....Nakaa na pesa ndani hata milion 10 ila naziweka tofauti.
Uweke vizuri ndio usahau, we kichwa maji kweliNo nikifika sehemu lazima niitoe niweke vzr sasa hapo lazima nisahau tu na nishawai angusha wallet na sikumbuki niliangushia wapi na ilikuwaje na ilikuwa mfukoni
Unaonekana una kishundu upande 🤣Hela zikikaa zenyewee Kwenye mfuko inatoshaa sana,mambo yakubeba mizigo mfuko wa nyuma tako Moja lionekane limevimba yamepitwa na wkt sanaaaa maselaa wenzangu...
Kichwa changu kina mambo mengi kwenye story hapo ndio shida zikianza tu nasahau kabisaUweke vizuri ndio usahau, we kichwa maji kweli