Wanaume

Wanaume

Safi kabisa mimi pia natumia hiyo kuna siku nilikuwa navuka kigamboni nafika pale getin na waonesha kitambulisho kwenye simu et waanashangaa why utembei nacho nikawapiga jicho nikapita hivi
Yaani mimi nishagombana na traffic mmoja eti alikuwa anataka leseni nikamwambia leseni hiyo namba hiyo akalalamika baadae akanirudishia simu akaniambia wewe nenda
 
Back
Top Bottom