Hao ni kasumba tu za kutawaliwa. Na ukweli ni kwamba wazungu huwa wanawafanyia mambo ya ajabu sana lakini wanakubali eti kwa sababu ni wazungu.
Wadada wengi wa kibongo wanakimbilia wanaume wa kidhungu kwa sababu wanapenda kurukwa ukuta.
eheheee i wish angepita nayo muzunguMama yangu. . . . Bikra yako wameshapita nayo!!!
Wazungu wana uzuri wake lakini pia sisi weusi tuna uzuri wetu pia, depend na interests za mtu.eheheee mimi sijawai kuwa na mzungu ila naamini wao ni the best....mnyonge mnyongeni lakini..
Wadada wengi wa kibongo wanakimbilia wanaume wa kidhungu kwa sababu wanapenda kurukwa ukuta.
ni mojawapo ya ujasiriamaliNjaa zao tu, hamna cha kutojiamini wala wivu wa kijinga! Maisha yakishawashinda wadada wakibongo na ujinga wao wa kupenda mambo makubwa kirahisi, wanaona wakatokee kwa wazungu, mifano ipo tu, mmoja wapo FINA MANGO mtangazazi wa clouds wa zamani.
hivi huwa wanacheat? mzungu mnaachana live...huwa hawamix kwa muda mmoja...sio kama weusi mnapigisha foleni dsm kampalaKuna wajinga watakuja hapa na kusema oooh wazungu hawacheat
Jana nilikua natazama program ya mikas eatv.Wageni walikua Nakaaya na Nancy Sumary Nancy aliulizwa kuwa,ni kwa nini wanamitindo wengi boyfriend zao ni na wazungu,hakutoa jibu la kueleweka,lakini pia hata dada yake,Nakaaya ikaonekana ana kidume mweupe,kwani alipoulizwa alijiumauma. Serena Williams aliwahi kusema kuwa wanaume weusi hawajui mapenzi,hawajiamini na wana wivu wa kijinga.Mshirik wa BBA revolution,Mtanzania Elizabeth Gupta,aliwahi kuwaponda wanaume au vijana weusi,akadai hakuwahi kuwa na kidume mweusi,lakini nashangaa ameolewa na Kevin ambae ni mweusi! Hivi ngozi inaweza ikaathiri tabia ya mtu au ni ujinga wa hawa wanawake?Kuna ushahidi wowote wa kisansi wa kuthibitisha hili?Naomba ieleweke kwamba hao niliowataja hapo sio kipimo cha ufahamu au wao ni bora,hapana.Nimewatumia kama mifano kuelezea tatizo la kutokujitambu tulilonalo!
Eiyer leo nimekupa like kwasababu unajitahd sana kuuchokoa mchokaa. Anyway binafsi sitaki kulichangia hili na siyo kwa nia mbaya bali nitagusa interest za watu fulani humu. But naamini utajifunza kitu ma lito bro.Jana nilikua natazama program ya mikas eatv.Wageni walikua Nakaaya na Nancy Sumary Nancy aliulizwa kuwa,ni kwa nini wanamitindo wengi boyfriend zao ni na wazungu,hakutoa jibu la kueleweka,lakini pia hata dada yake,Nakaaya ikaonekana ana kidume mweupe,kwani alipoulizwa alijiumauma. Serena Williams aliwahi kusema kuwa wanaume weusi hawajui mapenzi,hawajiamini na wana wivu wa kijinga.Mshirik wa BBA revolution,Mtanzania Elizabeth Gupta,aliwahi kuwaponda wanaume au vijana weusi,akadai hakuwahi kuwa na kidume mweusi,lakini nashangaa ameolewa na Kevin ambae ni mweusi! Hivi ngozi inaweza ikaathiri tabia ya mtu au ni ujinga wa hawa wanawake?Kuna ushahidi wowote wa kisansi wa kuthibitisha hili?Naomba ieleweke kwamba hao niliowataja hapo sio kipimo cha ufahamu au wao ni bora,hapana.Nimewatumia kama mifano kuelezea tatizo la kutokujitambu tulilonalo!
nyie ndo wajinga wajinga na mnao amini kila mzungu ni tajiri nyambafu, eti hawamix unamfahamu Terry wa Chelsea? unamfahamu Ryan Giggs wa Man U.? hao si wazungu? huo ni mfano tu, waafrika wanamentalite za kijinga sanahivi huwa wanacheat? mzungu mnaachana live...huwa hawamix kwa muda mmoja...sio kama weusi mnapigisha foleni dsm kampala
tupo wangapi? tulizananyie ndo wajinga wajinga na mnao amini kila mzungu ni tajiri nyambafu, eti hawamix unamfahamu Terry wa Chelsea? unamfahamu Ryan Giggs wa Man U.? hao si wazungu? huo ni mfano tu, waafrika wanamentalite za kijinga sana
0713...mh! nahisi ndio hivyo!