Jana nilikua natazama program ya mikas eatv.Wageni walikua Nakaaya na Nancy Sumary Nancy aliulizwa kuwa,ni kwa nini wanamitindo wengi boyfriend zao ni na wazungu,hakutoa jibu la kueleweka,lakini pia hata dada yake,Nakaaya ikaonekana ana kidume mweupe,kwani alipoulizwa alijiumauma. Serena Williams aliwahi kusema kuwa wanaume weusi hawajui mapenzi,hawajiamini na wana wivu wa kijinga.
wanawapapatikia wazungu kutokana na njaa zao, unakuta ana mzungu pembeni anakidume cheusi kinamkuna
Mbona mnalialia, analysis yangu inaonyesha black men are so much into white women. I wish someone give 10 white men married black women, I mean celebrities but I can write 200 pages just listing vice versa.
haki yake mpeni! Wazungu wanajua kupenda bana!
Hapo umeweka na Walatino?
Maana Michael Jordan na Shaq wao wana Walatino ati.
Akina dada lazima mfahamu jambo moja, wengi wa hawa wanadai wana Wazungu wanaume, huwa wanachoropoka mara moja moja na kupata Gwaride la Mpingo. Na hasa waliokuwa mabwana zao kabla hawajakutana na huyo Mudhungu.
Kwa sisi akina Kaka weusi, wengi huwa wanakimbilia Wadhungu kutokana na sehemu wanayoishi. Tuseme unaishi kule juu Sweden, kule Weusi wachache na utajikuta unaishia kuchukua Mama Yeyo wa Kiswidi ukame ukizidi. Mwanzo unaona kama ni kujiokoa tu na baridi kali ya Sweden/Norway ila siku zinavyozidi kuongezeka, unajikuta una mtoto/watoto na maisha yanakwenda. Mwisho unamzoea huyo Mamaa na unajikuta bila yeye, maisha hayaendi.
Sasa utamuachaje huyo mamaa na watoto wako/mtoto wako ambao ni damu yako mwenyewe? Kisa tu WIFI zake akina KAUNGA watakushambulia eti umewaletea Zeruzeru pale nyumbani Sikonge Usupilo.
Dunia sasa hivi inaungana, utake usitake itakuwa hivyo. Kuna wanakaofanya muungano huo kwa mapenzi. Kuna watakaofanya kwa kuona tu "ngoja wanione na mie nina MUDHUNGU" na kuna watakaofanya kwa bahati mbaya yaani Hit and Run.
Ila kwa sisi Wanyamwezi/Wasukuma, tuna kaugonjwa sana kwa NGOZI NYEUPE. Hata kwenye Mahali basi Ng'ombe huwa wanaongezeka kutokana na weupe wa Mamaa. Sasa ukipata sehemu Mwaarabu au Mudhungu na tena hulipi hata senti tano, lohhh, KATAVI(Shetani) akupe nini tena?
Wanyamwezi hadi tuna wimbo "toka ndani wakuone ulivyopendeza Mama Kaunga......." Kaunga hebu malizia, hehehee...
Hehehe! Na kweli mwanakwetu, huku kijijini nilipo mzungu pekee ni padri! Na anaogopa kunasishwa manake kikionekana kitoto shombe tu kitajulikana ni chake.
Niunganishie basi jamani weye mwenye bahati na mie.
Invisible, hebu tuwekee kitufe cha ku-reduce reputation plz!
mimi sijui bwana ..mimi sina mzungu wala sipendi watu weupe ila sidhani kama wana ubaya kiivo...mi kambi popoteHapo ndio penye swali la kujiuliza huwa wanawafatia nini hao wazungu kama huwa wanavidumu weusi si bora wangekua na vidumu wazungu tungejua moja! Kuna wadada si chini ya nane ninaowafahamu wote wana mabwana/waume wazungu na wote wana vidumu waafrika sielewiiiiiii,we Smile tatizo nini hapa???
Hangover jumanne? Kweli wewe mwanaume mweusi, kha!
sijaona icho kitufe na mimi ningekurushia pia....hujambo lakini?
hicho kitufe kipo! mi wananigongea sana humu wenye chuki binafsi .. but seriously smiles kaongea pumba
Uwe pink, zambarau, mwekundu, mweupe, mweusi, manjano, brown .... kama unamtarimbo I like you .
Tofauti mi ninayo angalia ni kitu kingine kabisa na si skin colour. What's the point of having a white or a pink man ambaye ha'" faction properly down under '"