Yummy
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 1,796
- 1,337
Last edited by a moderator:
Trust me, wanaume wa tz ndo my only number, hata mkenya staki kusikia! Watz hata waishe wote, bora nihamie kwenye ukameruni (god forbid). Ila mweupe, over my dead rotten body!
Kwani unanionaje bro?
Jana nilikua natazama program ya mikas eatv.Wageni walikua Nakaaya na Nancy Sumary Nancy aliulizwa kuwa,ni kwa nini wanamitindo wengi boyfriend zao ni na wazungu,hakutoa jibu la kueleweka,lakini pia hata dada yake,Nakaaya ikaonekana ana kidume mweupe,kwani alipoulizwa alijiumauma. Serena Williams aliwahi kusema kuwa wanaume weusi hawajui mapenzi,hawajiamini na wana wivu wa kijinga.Mshirik wa BBA revolution,Mtanzania Elizabeth Gupta,aliwahi kuwaponda wanaume au vijana weusi,akadai hakuwahi kuwa na kidume mweusi,lakini nashangaa ameolewa na Kevin ambae ni mweusi! Hivi ngozi inaweza ikaathiri tabia ya mtu au ni ujinga wa hawa wanawake?Kuna ushahidi wowote wa kisansi wa kuthibitisha hili?Naomba ieleweke kwamba hao niliowataja hapo sio kipimo cha ufahamu au wao ni bora,hapana.Nimewatumia kama mifano kuelezea tatizo la kutokujitambu tulilonalo!
They got a taste huh!
Afu acha kuniibia madesa basi, yaani eti nina mmalawi au mcongo, hell No
Nadhani am a 'countrist' (kama vile racist ila wa nchi anaitwaje?) in my own way
mmmh hao wanaume weupe utawatoa wapi kwanza..huna jeuri ya kukataa mzungu wewe piga kimya...sema huna bahati nao ..siku wakija kwenye anga zako ...hutocheua
umeona eeeh wewe utongozwe na beckam ...si utazimia hapo hapo....mzungu ni noma dada...siku akikatiza kwenye tisini zangu sitowaza mara mbili...Hehehe! Na kweli mwanakwetu, huku kijijini nilipo mzungu pekee ni padri! Na anaogopa kunasishwa manake kikionekana kitoto shombe tu kitajulikana ni chake.
Niunganishie basi jamani weye mwenye bahati na mie.
Invisible, hebu tuwekee kitufe cha ku-reduce reputation plz!
mmmh mimi sio mwenzio ...nimeokoka lakiniHahaha! Countrist it is, lol! Sasa mie ukiongezea u-racist mbona hapatoshi? Kama ni u-gold digger bora nimng'ang'anie Simbachawene tu kieleweke! Mafisadi woote hawa bongo kwa mzungu nifuate nini?
Smile, it seems hauna access na mafisadi. Hebu nitafute niku-introdyuzi!
Hahaha! Countrist it is, lol! Sasa mie ukiongezea u-racist mbona hapatoshi? Kama ni u-gold digger bora nimng'ang'anie Simbachawene tu kieleweke! Mafisadi woote hawa bongo kwa mzungu nifuate nini?
Smile, it seems hauna access na mafisadi. Hebu nitafute niku-introdyuzi!
mmmh mimi sio mwenzio ...nimeokoka lakini
kuna tofauti ya kusex na kumake love....inaelekea wewe na Mbu ni sex tu ....badilikeniHahahaha leo Smile umeamuua..... kwa hiyo sie tunaopenda weusi tunapenda sex na si love making au ndo hatujui tofauti?
Hahha wakaka weusi leo mnalo, jiteteeni hapa hasa kwenye kujua sex na kumake love!
nimeokoka iyo mitaa ya avatar yangu hapo...ila naona siku hizi shetani ananimendea kweliUsije kuwa umeokoka kuanzia kiunoni kuja kichwani na kuamnzia magotini kuwenda miguuni
Wokovu wa siku hizi uko wa aina nyingi.