Wanaume wenye tabia hii mnachokitafuta mtakipata

Wanaume wenye tabia hii mnachokitafuta mtakipata

Sio kwangu Mimi aisee tena hao wa baby baby ndo hawapati bora wale wa accidentally ninaokutana nao. Mi Ku date na ninaofahamiana sipendi
ooh ok!! Upo vizur!! nimependa attitude yako
 
Kwanini asome mambo yako huku yeye hataki ujue yake maovu tena mengi sana
Enheeee hp ss tutaenda sawa kwa mtu km hyo shenzi zke ila nikuulize swali ingekuwa ypo very open kwako cm yke inakaa popote ple hata password haina mtu km hyo akihack mawasiliano yko ili ajiridhishe uaminifu alionao kwako nawe unao kuna tatzo?
 
Unajua mapenz n kitu cha hatar Sana'a na complicated...mwanamke ukimpa Uhuru anahis humpend...ukimbanaa humpendii...SAS kanun y mahusiano n kumuheshim nae akuheshm
Lengo kuu ni kukufanya usigundue ya kwake na ndo maana kutwa kukufatilia. Mtu wa ivyo siyo mzuri tu
Acha mapenz fany ngono
Sasa Ku chart ndo umalaya mkuu, chart si kupiga tu story za hapa na pale
 
Mkuu waweza itana baby kumbe hata hujafikiria lolote yani, hafu mi hupenda Ku chart tu basi ila kufikia stage ya kubanjuana ndo cwezi
Hpo ss ndio penye tatzo kuna vtu nyie wanawake kwenu huwa mnaviona vidogo sana ila kwetu sisi co rahisi kabisa ss we mtu unakuta mkeo ana chart na lijamaa analiita baby mara darling sweetheart hata km hakuna kinachoendelea mm mwenzenu mswahili labda nyie mliosoma kdg mnisaidie charting km hzo kweli uzikute ukae kmya?
 
Mwingine anajifanya anataka mke wa mtu kumbe anataka mume wa mtu,shida afumaniwe ananiliwe mwili wake uchangamke....vipumbavu saana vimtu vya sikuhiz
 
Sasa Ku chart ndo umalaya mkuu, chart si kupiga tu story za hapa na pale
Yaani umekazania sana hz charting za hp na ple unanikera ww ungekuwa karibu ningekuzaba kibao huo ndio mwanzo wa matatzo hzo charting za hp na ple ya nn hyo yote? Umalaya tu!
 
Yaani umekazania sana hz charting za hp na ple unanikera ww ungekuwa karibu ningekuzaba kibao huo ndio mwanzo wa matatzo hzo charting za hp na ple ya nn hyo yote? Umalaya tu!
Hahaaaa eti nakukera kwahyo wewe hutaki mpenzi wako apige story na wengine huo wivu umexidi.

Hahaaaa eti unazabe kibao sasa kwa kosa gani inaonyesha wewe ni mpigaji.

Wewe hujui umalaya wewe wasema
 
Hahaaaa eti nakukera kwahyo wewe hutaki mpenzi wako apige story na wengine huo wivu umexidi.

Hahaaaa eti unazabe kibao sasa kwa kosa gani inaonyesha wewe ni mpigaji.

Wewe hujui umalaya wewe wasema
Maisha bila kuongea na watu co maisha Ila mazoea ya kingese ngese km hya ya kwako ndio ctaki kuskia achague moja kwenye upigaji cjajaaliwa kipaji hcho ila nina mikwara kishenzi!
 
Hpo ss ndio penye tatzo kuna vtu nyie wanawake kwenu huwa mnaviona vidogo sana ila kwetu sisi co rahisi kabisa ss we mtu unakuta mkeo ana chart na lijamaa analiita baby mara darling sweetheart hata km hakuna kinachoendelea mm mwenzenu mswahili labda nyie mliosoma kdg mnisaidie charting km hzo kweli uzikute ukae kmya?
Hapo ukishakuwa mke nikukata tu mazoea maana hapo havivumiliki kabisa yani kwa mwanaume yoyote yule ni ngumu
 
Maisha bila kuongea na watu co maisha Ila mazoea ya kingese ngese km hya ya kwako ndio ctaki kuskia achague moja kwenye upigaji cjajaaliwa kipaji hcho ila nina mikwara kishenzi!
Hahaaaa mkuu mi sina mazoea mabaya na mtu mie najijua mtu mzima najua limit yangu
 
Hahaaaa mkuu mi sina mazoea mabaya na mtu mie najijua mtu mzima najua limit yangu
Nafrahi saa hz tunaelewana mwanzo ulikuwa wanivuruga sana na comments zko mtatuua na wivu jmn!
 
Mwanzo nilikua naona kawaida kuona mtu ana mazoea yasiyo eleweka na mke wa mtu hata mm niliona ni sawa kuwazoea ila tangu nijue ina uma vipi mke wako kuzoelewa kijinga dah napiga vta sana huu upumbavu
Nina mshkaji kaachana na na mke wake baada ya mazoea na mtoto wa baba ake mdogo alitlyekuwa anaishi nae hapo home. Jamaa akiwa job wao wanasex mazoea yalizidi jamaa akawa anamegewa. Imbidi aachane na wife
 
Sasa hapo ni ukiwa mke unatulia lakini uko single mtu akubane hivo si anakuzibia
Haaaaaahaaaaa so unatega kotekote? jamaa ana kaba sababu ana uhakika anabeba jumla hlf we unataka kumletea hbr za kubet!
 
Nafrahi saa hz tunaelewana mwanzo ulikuwa wanivuruga sana na comments zko mtatuua na wivu jmn!
Hahaaaa pole kwa kuvurugwa na comments zangu, mkiendekeza wivu utawaua bure mwache mtu atumie kiungo chake vzuri
 
Back
Top Bottom