Kuna tabia ya baadhi ya wanaume wanapekua simu za wachumba au wapenzi wao na kuanza kuchukua namba zilizotuma msg au call na kuanza kuuliza maswali mi nayaita ya kijinga.
Utasikia we ni nani ulimtumia mke wangu msg good night au nimeona miss call yako kwa mke wangu ulikuwa unasemaje acha maagizo basi akija nimwambiaje...
Hivi mnaelewa kuwa hao wapenzi wenu ni binadamu tu kama binadamu wengine na wanaishi kimakundi na kuna mahusiano ya kikazi na familia nje yako?
Kwani lengo hasa la tabia hii ni nini?
Kwa mfano nikikujibu kuwa huyo demu wako nilishamla ila hajui kukata kiuno utajisikiaje? Au nikikwambia mi ni muhudumu wa gesti na mpenzi wako amechafua mashuka ya gest baada ya kuliwa tigo utajisikiaje??
Niwatakie mapenzi mema