Wanaume wenye tabia hii mnachokitafuta mtakipata

Wanaume wenye tabia hii mnachokitafuta mtakipata

Naona kuna mtu kakupigia kukuchimba mkwara
mi nataka kujua kama kunaumuhimu wowote wa kufanya tabia hii y akumpekua mkeo kiasi hiki au tunaweza kutumia njia njingine kuwafuatilia wake zetu... na mbaya zaidi siku hizi watu wanaingia kwenye mahusianobila hata ndugu kujua sasa siku mnampigia simu dada yako au shangazi yako tu mtu anakuchimba biti hata haelewi chochote
 
Nilikuwa sifanyi CHOCHOTE kibaya sasa MTU anasoma chart za mzazi wako siku nyingine anaropoka mambo yako indirect kwa watu sasa huyo ni timamu kweli, hafu mi nikidhamiria kuwa mchepukaji natafta line special, mi MTU kuwa mpenzi wangu haimanishi a nifanye mtumwa aingilie mambo yangu binafsi in the name of love
Pole mumie. Hope ulimpiga chini.
 
Kwahiyo jamaa mpya hakufuatilii?!
Sijui ka ananifatilia though ananichunguza kimya kimya yani loh mana nami mgumu ka jiwe kujiaminisha kitu, yule mwingine had nikiienda kijijini taarifa zangu anazo jamani huko sikukerana.
 
Huyo ni mpenzi hajanioa ananifatilia hivo akiwa mume si ndo shida sana aisee.
Mimi kabla ya kuoa tulikua tunazinguana sana na wife kwenye mambo ya kuchunguliana simu, nilioa sote tukawa free kwa simu zetu, yaani anaweza kukaa na simu yangu siku nzima na mimi naweza kukaa na yake siku nzima, hakuna siri tena!!! Ila mpaka kufikia hiyo steji kuna changamoto kubwa sana, tena sana.
 
Sijui ka ananifatilia though ananichunguza kimya kimya yani loh mana nami mgumu ka jiwe kujiaminisha kitu, yule mwingine had nikiienda kijijini taarifa zangu anazo jamani huko sikukerana.

Kuwa makini na yule jamaa mnaitaka baby kule kwny grp la whtsap
 
Mimi kabla ya kuoa tulikua tunazinguana sana na wife kwenye mambo ya kuchunguliana simu, nilioa sote tukawa free kwa simu zetu, yaani anaweza kukaa na simu yangu siku nzima na mimi naweza kukaa na yake siku nzima, hakuna siri tena!!! Ila mpaka kufikia hiyo steji kuna changamoto kubwa sana, tena sana.
Bora wewe mnazinguana kupeana sasa huyo wangu yeye alikuwa ana hack tu sasa Mimi inanikera hyo. Hongereni kwa kuwa free na simu ya kila mtu, Mimi inaweza kuwa ya kawaida ila kufatilia mambo ya mtu yasiyo nihusu huwa sipendi.
 
Naona mwanaume wa mkoani kamchimba mtu mkwara daslama hua hawafanyagi hayo mamboo..maana wanawake ni wengi sana
 
kuna namna ya kumfuatilia mpenzi tu wakawaida, mchumba, mke na hata mchepuko watu wanaufuatilia hili siyo kosa tatizo ni kwanini upige simu hovyohovyo na kanza kushutumu watu kisa tu umekuta miss call au namba ya simu kwa mpenzi wako kuna mwingine aliniambia mpenzi wake anakagua na idadi ya majina ya simu na kila jioni lazima atoe hesabu aliongea na nani na waliongea nini
 
Kuwa makini na yule jamaa mnaitaka baby kule kwny grp la whtsap
Mkuu waweza itana baby kumbe hata hujafikiria lolote yani, hafu mi hupenda Ku chart tu basi ila kufikia stage ya kubanjuana ndo cwezi
 
Mkuu waweza itana baby kumbe hata hujafikiria lolote yani, hafu mi hupenda Ku chart tu basi ila kufikia stage ya kubanjuana ndo cwezi

Sasa ww una mpenzi mambo ya kuitana baby na watu wengine yann?!mahusiano mengi siku hizi yanavunjika kwa vitu kama hivi
 
Haha aisee mkuu km unammendea mke wa mtu bora uache kabisa

Oohoo mwenzako nilifatwa kazini na kutishiwa bastola mbele ya wafanyakazi wenzangu baada ya kucheza na mke wa mtu
 
Sasa ww una mpenzi mambo ya kuitana baby na watu wengine yann?!mahusiano mengi siku hizi yanavunjika kwa vitu kama hivi
Kuna zile story tu za hapa na pale napo mtu unaona wivu tena jamani, though hyo kuitana baby sio vzuri, pia huwezi ni limit hvo hujanioa wanaume wenyewe hawaeleweki, akikupotezea mda, na wahenga walinena usiwrke mayai yote sehemu moja.
 
Basi ww bado unataka kuendelea kula ujana ndio maana bado hujiamini
 
Haha aisee mkuu km unammendea mke wa mtu bora uache kabisa

Oohoo mwenzako nilifatwa kazini na kutishiwa bastola mbele ya wafanyakazi wenzangu baada ya kucheza na mke wa mtu
Heeeh ikawaje?
 
Back
Top Bottom