Wanaume wenye tabia hii mnachokitafuta mtakipata

Hata akiniomba hapati kitu, eeeh mwishowe huniona na mambo yasiyoeleweka, kutoa penzi hovyo huua u rafiki aisee

Mpk ifikie wapi ndio unatoa penzi?!...mwaka mzima mnachat nn sasa?!
 
Na kweli huyo hakuwa mzuri tabia zake zilikuwa mbovu jinsi nilivogundua hakutegemea, mahusiano mazuri ni ya kuheshimiana na kuaminiana. Watu wanaofatilia wapenzi wao ni hatari tena sio wazuri
Yani wa ivyo angekuoa angekuwekea masharti mengi sana na ata kama ni kazi angekuachisha. Hongera pia kwa kuachana nae
 
Mpk ifikie wapi ndio unatoa penzi?!...mwaka mzima mnachat nn sasa?!
Tuna chart vtu tofauti tofauti mi na marafiki wa more than 3 years wameomba wamechoka, ctaki kuwapoteza kisa mapenzi
 
Hawajajua jinsi ya kuomba tu mbona wengine umewapa
 
Hahaaaa eti wengine nimewapa hao waliopta waliniotea tu ki bahati mbaya tena sikutaka mazoea nao, maana wengi hutaka kuniganda yani
 
Mambo yako sio mchezo ndio maana wanataka kukuganda unawakataa
 
Hata akiniomba hapati kitu, eeeh mwishowe huniona na mambo yasiyoeleweka, kutoa penzi hovyo huua u rafiki aisee
katika watu 10 mtakaoitana baby, honey na mengineyo lazima unase tu kama sio kwa mmoja basi 2 watakula mzigo !! ndege mjanja hunasa tundu bovu
 
Back
Top Bottom