Wanaume wenye tabia hii mnachokitafuta mtakipata

Kipengele cha kugongewa mke kisikie kwa jirani kisiingie ndani kwako kwani kinauma sana, vitabu vya Mungu vinatueleza na kutuonya juu ya jambo hilo, zaman walikuwa wanapewa adhabu ya kupondwa mawe mpaka kufa waliozini kwa matazamo wa ndani kimungu uzinzi unaonekana kuwa ni dhambi kubwa kuliko zote maake ndo ulioangusha dunia.

Hivyo unapoona mwenza wako anashawishika kupekua simu yako ujue keshakutilia shaka mwenendo wako, hana imani na wewe, hivyo kabla hajafanyahivyo wewe ndo unatakiwa uwe wa kwanza kujichunguza na kujirekebisha, zuia mazingira hayo kwa kuzuia msg na call zenye mlengo wa kumfanya mwenza wako akutilie shaka, kamwe usichukulie poa.
 
Mimi kabla ya kuoa tulikua tunazinguana sana na wife kwenye mambo ya kuchunguliana simu, nilioa sote tukawa free kwa simu zetu, yaani anaweza kukaa na simu yangu siku nzima na mimi naweza kukaa na yake siku nzima, hakuna siri tena!!! Ila mpaka kufikia hiyo steji kuna changamoto kubwa sana, tena sana.
Tatizo MNA oana kijanja janja .inatakiwa mwanaume unapomtaka mwanamke umweleze misingi yako mapema kuwa upendi nini na unataka nini ili kama anakubaliana na wewe basi mnaanzisha uhusiano
 
H
Me sigusagi simu yake maana niligusa mara mbili kidogo nife na presha
Huwezi ukaishi na mzinzi ndani, uaminifu ni kitu cha msingi na cha lazima, usiogope kutumia simu ya mwenza wako kwa kigezo cha kuogopa yaliyomo, mwanamke mwaminifu utamjua tu, mwanamke mzinzi na aachwe huru, giza na nuru havichangamani usipende kukaa gizani brother, mwanamke anapoamua kuingia kwenye mahusiano ya ndoa ajikane kwa kujitenga mbali na uzinzi, mkeo asipokuwa mwaminifu hutokaa ufurahie ndoa utaichukia.
 
Wanawake smtym akili zao ni kama mbuzi tuu..USIPO MCHJNGA IMEKULA KWAKO UKIMCHUNGA NAPO UNAWEZA KULA KWAKO. Hawa viumbe hawaeleweki kabisa


Mie naishi na mke wangu atunze mtoto na nisijue kuwa anchepuka au nachepuki.MAANA NIKIJA JUA INAUMAA sijui km nitavumilia


HIV WEWE UNAJENGA MAZOEA NA MKE WA MTU NINI???


Mtakuja uwawa ***** *****
 
Back
Top Bottom