Wanaume wenye tabia hii mnachokitafuta mtakipata

Wanaume wenye tabia hii mnachokitafuta mtakipata

Mambo yako sio mchezo ndio maana wanataka kukuganda unawakataa
Mambo yangu kawaida tu sema nikakaa na mtu na cope situation yoyote I can advice, nasoma mood ya MTU, so kuwa na Mimi mtu haboreki yani loh
 
Yani maana wivu umepitiliza imagine someone searching ur detail had nyumbani na sikuwahi kumwonesha, yani nashukuru nilitua mzigo
Alikuwa anataka kukuoa ila pia hukua unampenda labda alikupenda yeye
 
Mambo yangu kawaida tu sema nikakaa na mtu na cope situation yoyote I can advice, nasoma mood ya MTU, so kuwa na Mimi mtu haboreki yani loh

Kwenda zako [emoji23][emoji23]
 
katika watu 10 mtakaoitana baby, honey na mengineyo lazima unase tu kama sio kwa mmoja basi 2 watakula mzigo !! ndege mjanja hunasa tundu bovu
Sio kwangu Mimi aisee tena hao wa baby baby ndo hawapati bora wale wa accidentally ninaokutana nao. Mi Ku date na ninaofahamiana sipendi
 
Alikuwa anataka kukuoa ila pia hukua unampenda labda alikupenda yeye
Nilikuwa nampenda ndio hata kama alitaka kunioa ila sio kuwa na lundo la wanawake na alinambia katulia sasa mie kupigiwa simu na mwanamke wake huku yeye ananichunga ka nini sasa hyo si kitu ya ajabu kabisa yani.
 
Bora huyo.anapekua wangu alikuwa mshenzi amehack mawasiliano yangu aaargh hyo ilifanya nisimpende kwa kufatilia mambo yangu.
Ah..mm hp ndio watu wengi nashindwa kuwaelewa kwann mnakuwa wakali sana hamna mambo ya ajabu ajabu? km una uhakika na nyendo zko mtu akijisumbua kuhack unamchora tu mwsho wa cku atajiona mjinga mwenyewe!
 
Kwanini asome mambo yako huku yeye hataki ujue yake maovu tena mengi sana
 
Back
Top Bottom