Wanaume wenye tabia hii mnachokitafuta mtakipata

Wanaume wenye tabia hii mnachokitafuta mtakipata

Basi ww bado unataka kuendelea kula ujana ndio maana bado hujiamini
Mkuu najiamini ila kufatiliana huko ni hatari, Mimi mwenyewe mpenzi wangu sifatilii simu yake, au kusikiliza ushilawadu sasa ukimchunguza sana yanakuja kukushinda bure
 
Aah nilijiskia vbya sna watu wakaniweka chini na kunipa somo kwamba niache kabisa hiyo michezo nilitaman ardhi ipasuke daah ilikua jau
Una bahati jamaa alikuwa mstaarabu hakukukodia wahuni wakufanye mbaya huku umeshikiwa bastola mbona ungekoma, nyie wanaume ni wahuni ila kwa wake zenu huwa mnajifanya MNA uchungu sana
 
Na ww ucku wote huu kupigia cm wake za watu ndio nini?
 
Una bahati jamaa alikuwa mstaarabu hakukukodia wahuni wakufanye mbaya huku umeshikiwa bastola mbona ungekoma, nyie wanaume ni wahuni ila kwa wake zenu huwa mnajifanya MNA uchungu sana
Aisee mm asingefanikiwa kote huko , ni mzee wa machele sna hata angekuja kwa lengo la kuuwa basi angekufa yy aisee
 
Nilikuwa sifanyi CHOCHOTE kibaya sasa MTU anasoma chart za mzazi wako siku nyingine anaropoka mambo yako indirect kwa watu sasa huyo ni timamu kweli, hafu mi nikidhamiria kuwa mchepukaji natafta line special, mi MTU kuwa mpenzi wangu haimanishi a nifanye mtumwa aingilie mambo yangu binafsi in the name of love
Sa shida zako hizooo..umalaya mbaya
 
Aisee mm asingefanikiwa kote huko , ni mzee wa machele sna hata angekuja kwa lengo la kuuwa basi angekufa yy aisee
Wewe huyo ana huruma mi kuna mtu alimtendea vibaya jamaa aliyekuwa ana tembea na mkewe
 
Lengo kuu ni kukufanya usigundue ya kwake na ndo maana kutwa kukufatilia. Mtu wa ivyo siyo mzuri tu
Na kweli huyo hakuwa mzuri tabia zake zilikuwa mbovu jinsi nilivogundua hakutegemea, mahusiano mazuri ni ya kuheshimiana na kuaminiana. Watu wanaofatilia wapenzi wao ni hatari tena sio wazuri
 
Back
Top Bottom