Wanaume wenye tabia hii mnachokitafuta mtakipata

Wanaume wenye tabia hii mnachokitafuta mtakipata

Hahaaaa pole kwa kuvurugwa na comments zangu, mkiendekeza wivu utawaua bure mwache mtu atumie kiungo chake vzuri
Kuna watoto wanajua mambo bhana weeee hadi unawaza cjui na wenzangu anawafanyia hv bc roho yote paa paa ukipiga cm unaongea kwa hasira bila hata sababu!
 
Haaaaaahaaaaa so unatega kotekote? jamaa ana kaba sababu ana uhakika anabeba jumla hlf we unataka kumletea hbr za kubet!
Jamaa alikuwa anakaba had penalti yani loh ila hyo imezidi
 
Haaaaaahaaaaa so unatega kotekote? jamaa ana kaba sababu ana uhakika anabeba jumla hlf we unataka kumletea hbr za kubet!
Jamaa alikuwa anakaba had penalti yani loh ila hyo imezidi.
 
Kuna watoto wanajua mambo bhana weeee hadi unawaza cjui na wenzangu anawafanyia hv bc roho yote paa paa ukipiga cm unaongea kwa hasira bila hata sababu!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hutaki wenzako wapate vitu adimu humu duniani jamani, kizuri share na nduguyo
 
Nalala jama usku mwema ila mada ya leo taaamu balaa tubadilike kupekuwapekuwa simu za wake zetu
 
Nina mshkaji kaachana na na mke wake baada ya mazoea na mtoto wa baba ake mdogo alitlyekuwa anaishi nae hapo home. Jamaa akiwa job wao wanasex mazoea yalizidi jamaa akawa anamegewa. Imbidi aachane na wife
Hata kama ni wewe unaeza vumilia hii dhambi ambayo hata shetani hajaibariki
 
Mtu asiye na mke utamjua tu, kijana nenda katoe mahari milioni 4, salun elf 50 kila wiki, shooping ya vyupi laki 3 ndio utajua uchungu wa mke. Othetwise subir comment za wasera wenzio
 
Back
Top Bottom