Wanaume wenye huruma

Wanaume wenye huruma

Good boys ain't ma choice teh

HATA PUNDA HAENDI BILA MCHAPO, NAELEWA MAMY, SIE WENGINE MAYAI TUNAHITAJI KUTREATIWA KWA HURUMA, NA GOOD BOYS. ILA NYIE VYUMA KWELI BAD BOYS NDIO FIT
 
Mwanaume mwenye huruma, ni mpenda wanawake, anaethamini wanawake, na ni mkweli, na mwenye moyo mzuri, huyu upendwa tu hata kama hana pesa. Na hudumu kwenye ndoa.

Wanaume wakatili, wabakaji, wenye maneno mabovu, waharibifu wa wanawake, wababe wababe, wazinzi, wenye dharau, wenye kuthamini marafiki na magroupe kuliko mwanamke wake, wanaopenda mamlaka na ukubwa ukubwa, wanaopenda sifa sifa, waongo, wanaojifanya wajanja, hawa wanaitwa washenzi type, hawa hawapendwi na hawadumu kwenye ndoa.

Wakifulia ukimbiwa, dawa yao ni kukomolewa na kuwadai pesa nyingi, bila pesa hawapendwi. Kwahiyo mnaopendewa pesa, basi mjue labda munadosari.
Pole kwa kutendwa..Daah
 
Uzoefu wangu unaonesha wanaume wapole, wenye huruma na wenye mapenzi ya dhati huishia kuumizwa sana
Sasa kuna wale wakorofi ndo huwa wana liliwa kilasiku na hawa achwi

*ki ukweli huwa nashindwa kujua kwa nini
Yani umesema ukweli haswa
 
HATA PUNDA HAENDI BILA MCHAPO, NAELEWA MAMY, SIE WENGINE MAYAI TUNAHITAJI KUTREATIWA KWA HURUMA, NA GOOD BOYS. ILA NYIE VYUMA KWELI BAD BOYS NDIO FIT
Na nyie mayai ndo mnaumizwaga hadi huruma, moyo unapondwa pondwa unakua kama nyanya mbovu.... Poleni
 
Na nyie mayai ndo mnaumizwaga hadi huruma, moyo unapondwa pondwa unakua kama nyanya mbovu.... Poleni

hahaha, kabisa, umenifurahishaaa sana, kweli kabisa sie mayai tupo laini tunavunjika mioyo mapema na tunaogopa bad guys. vyuma nyie mnaiweza misuko suko, na munaipenda pia. UCHIKU MWEMA NAENDA ZANGU KUSLEEP, nikapigwe kirungu kwanza
 
Binafsi huwa nakosa raha nikimuona mwanamke anahangaika/teseka huwa akili yangu inagota haraka sana kuwa ufunguo wa mateso yake ni mimi naona eti labda mungu amenisogeza karibu yake nimfungue pingu zake/nimsaidie eti bila akili yangu ya kiume yeye ni mwanamke akili ya kupita kwenye magumu hana.Naandika hivi huku roho inaniuma yaani utafikiri eti ndo namuona demu akihangaika.
 
Back
Top Bottom