Wanaume wenye huruma

Wanaume wenye huruma

Uzoefu wangu unaonesha wanaume wapole, wenye huruma na wenye mapenzi ya dhati huishia kuumizwa sana
Sasa kuna wale wakorofi ndo huwa wana liliwa kilasiku na hawa achwi

*ki ukweli huwa nashindwa kujua kwa nini
Mwanaume sharti uwe shababi sio kila kitu ndiyo,lazima ukikoroma mwanamke aseme yes
 
yakhe! mie nacheza na kitabu tu kipi kina nini yakhe hapo

yakhe! Mie natumia kitabu tu ATI, kitabu gani na kina nini hapo ndipo utakapo rudi humu kuomba ushauri, mashengwena......inshallah
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sawa mzee wa unguja
 
Bad boys ni watamu asikuambie mtu, waanwaumiza visokolokwinyo wanaowekeza kwenye mapenzi.....
Mie mapenzi ni burudani sio uwekezaji

Ukitaka ku play games, bora bad boys, lakini ukitaka raha na aman, na kuishi maisha marefu, good boys are dammmm asikuambie mtu
 
Umeonaee eeh
watu siku hizi wanajikuta makauzu full kuigiza mara wanavuta bangi wanapiga madem zao wanawatukana eti ndio uwanaume, mimi kwa huruma zangu alizonijalia Mnyaz Mungu inabidi niwafariji tu madem zao mana hamna namna [emoji533]
 
Mkuu ukishakuwa pombe huruma unaitolea wapi[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom