ah ah ah ah, mimi baba huruma.Hiyo kind ya wanaume wenye huruma wanakuaga sio watamu kabisa.... Sorry
Jidanganye uwe mpoleYakhe! mie mpole ati....kumbe ndiyo tunatakiwa at, basi vzr......
upole ni nini? hebu tuanze hapo.Jidanganye uwe mpole
Utachapiwa hadi rum.kwako mzee
Ukisoma mwanzisha uzi utaelewa nnacho ongea bro.upole ni nini? hebu tuanze hapo.
wewe umesema mwanaume mpole anachapiwa, nataka kujua sababu ipi inayohusiana na upole inamfanya achapiwe?Ukisoma mwanzisha uzi utaelewa nnacho ongea bro.
Hata hatuna haja ya kuanza chochote
Ndio na mimi najiuliza sasa kama wewe, wanawake wenyewe ndo wanajuawewe umesema mwanaume mpole anachapiwa, nataka kujua sababu ipi inayohusiana na upole inamfanya achapiwe?
Kwetu Mara tunawapiga kinoma na ndo wanazid kutupenda,maana hata MUNGU katuruhusu,ukijifany mpole kwa dem,imekula kwakoView attachment 409792
yakhe! mie nacheza na kitabu tu kipi kina nini yakhe hapoJidanganye uwe mpole
Utachapiwa hadi rum.kwako mzee
yakhe! Mie natumia kitabu tu ATI, kitabu gani na kina nini hapo ndipo utakapo rudi humu kuomba ushauri, mashengwena......inshallahJidanganye uwe mpole
Utachapiwa hadi rum.kwako mzee
mwanaume akiwa mpole anaonekana kama mwanamke, wanawake siku zote wanapenda mtu anaewachalenj so sometimes unamlegezea sometimes unamkazia. haka kamamsapu kakianza kuongea mashudu nikimkazia macho tu anajua kimenuka.Ndio na mimi najiuliza sasa kama wewe, wanawake wenyewe ndo wanajua

YAKHE! MUSICHAPIANE JAMANI SIYO VEMA ATI, TANGAZENI TU UPENDO ILA UKATILI SIYO DEAL ATI ........ UKALI UNAKUJAGA TU SOMETIMES KAMA KUNA ISSUE HAZIJAENDA VZR ILA SIYO UNALETA UBANDIDU WAMTISHAAAA WEEEE MTOTO WA WATU MPAKA ANAKUKIMBIA , CHAPA WANGU UTAKUJA TU UTANIPA DATA ZOOTE MWENYEWE.........NATAZAMA TU MWEZI UPO NUSU AU ROBO , BAHARI IPO KUPWA AU JAZI? UTATOA SHUHUDA KWA KILA MTU ATI, HUGUSWI ILA....YAKHE! SHUKRANImwanaume akiwa mpole anaonekana kama mwanamke, wanawake siku zote wanapenda mtu anaewachalenj so sometimes unamlegezea sometimes unamkazia. haka kamamsapu kakianza kuongea mashudu nikimkazia macho tu anajua kimenuka.
kujifanya mkatili hakutalinda mahusiano yako, kwenye relationship mwanaume inabidi uwe unabehave kama SLEEPING BEAST. siku atakayokuamsha ataita jina la babu yako mzaa mama.
nikiwa napiga ulabu bar nakutana na wanawake mbali mbali wanaolalamika mabwana zao ni wakatili, basi mi ntavowasapoti na kuwategea sikio nawakamata vibaya mno.
ila sio mbaya, endelea tu kuwa mkatili, mimi nitafanya kazi ya kumpooza mkeo pale bar![]()
![]()
![]()
Bad boys ni watamu asikuambie mtu, waanwaumiza visokolokwinyo wanaowekeza kwenye mapenzi.....like upo serious??? bad boys wakiwaumiza ndo mnakuja humu jukwani kutokwa povu Evelyn Salt
Stay away..... Wasalimieah ah ah ah, mimi baba huruma.
hahahahh, ustaadh saaleku.. we mke wako simgusi hata ukinipa ruhusa nani anataka mambo ya babuchi na papuchi kunatiana?YAKHE! MUSICHAPIANE JAMANI SIYO VEMA ATI, TANGAZENI TU UPENDO ILA UKATILI SIYO DEAL ATI ........ UKALI UNAKUJAGA TU SOMETIMES KAMA KUNA ISSUE HAZIJAENDA VZR ILA SIYO UNALETA UBANDIDU WAMTISHAAAA WEEEE MTOTO WA WATU MPAKA ANAKUKIMBIA , CHAPA WANGU UTAKUJA TU UTANIPA DATA ZOOTE MWENYEWE.........NATAZAMA TU MWEZI UPO NUSU AU ROBO , BAHARI IPO KUPWA AU JAZI? UTATOA SHUHUDA KWA KILA MTU ATI, HUGUSWI ILA....YAKHE! SHUKRANI

no you stay away, I gotta wifeStay away..... Wasalimie

SALEKU... SALEKU...... KARIBU NAMTENGENEZA NGISI HAPA.,, WATUMIA WEYE?hahahahh, ustaadh saaleku.. we mke wako simgusi hata ukinipa ruhusa nani anataka mambo ya babuchi na papuchi kunatiana?![]()
![]()
![]()
ustaadh mi nakula hadi tope sembuse ngisi.SALEKU... SALEKU...... KARIBU NAMTENGENEZA NGISI HAPA.,, WATUMIA WEYE?
Evelyn Salt, mi siku tukiwa chumbani nawe, jongoo anaweza kushindwa kupanda mtungi. Nahisi, unaweza kunishushua.. We kikaniki ndio kutiana gani huko!!? EboStay away..... Wasalimie