Wanaume wenye huruma

Wanaume wenye huruma

Elimu tu..acheni uombaomba..nyinyi sio walemavu...fanyeni kazi na nyinyi muwatunze wanaume wenu.
Naona na wewe unapiga debe utunzwe na mkeo kwa kisingizio cha elimu. Na hatuwatunzi ng'o! Hii movement yako imeshafeli
 
Naona na wewe unapiga debe utunzwe na mkeo kwa kisingizio cha elimu. Na hatuwatunzi ng'o! Hii movement yako imeshafeli
Hahaha kumbe nyinyi hamtaki kutunza..ya nn kutaka kutunzwa??? Tutunzane..sasa hv haki sawa.
 
Timekushtukizia.... Umeanza harakati za kudai wanaume nanyi mtunzwe... Bila hata aibu.

Imeandikwa "mwanaume atakula kwa jasho lake"
Wakati na nyinyi sasa hv mnafanya kazi sawa na wanaume?? Haki sawa..mwanamke anafanya kazi sawa na mwanaume...zamani wanaume pekee ndio walikuwa wanafanya kazi za uchumi..wanawake walikuwa mama wa nyumbani tu...mkitaka tuwatunze..bakini kuwa mama wa nyumbani...mtuachie sisi wanaume kazi zote za kuingiza kipato...otherwise tutunzane.
 
Uzoefu wangu unaonesha wanaume wapole, wenye huruma na wenye mapenzi ya dhati huishia kuumizwa sana
Sasa kuna wale wakorofi ndo huwa wana liliwa kilasiku na hawa achwi

*ki ukweli huwa nashindwa kujua kwa nini
Dah umeongea nimekumbuka rafiki yangu huyo.
 
Mm siwezi kuwa mpole mda wote..hata manabii wenyewe hawakuwa wapole mda wote..yaani hata mwanamke akifanya upumbavu niwe mpole??

Kuna tofauti ya upole na huruma.
Upole si huruma. Mtu anaweza kuwa mpole lakini mkatili, na mtu anaweza kuwa sio mpole lakini anayo huruma sana tu.
 
***** yaan km unataka usidumu na mwanamke bas kua na sifaa nzuri za hapo juu kwenye post aloo atagongwa huyo hadi na mateja hlf atarudi kwako kuomba mrudiane
..kuna mwanamke hapendi mwanaume katili?kuna mwanamke hapendi mwanaume malaya?kuna mwanamke hapendi mwanaume mwenye sifa na mamlaka? nkama unataka umshauri mwanaume apendwe na wanawake wengi kwa mda mfupi mfundishe kua malaya,katili,mchoyo,muongo yaan huyo ht tongoza watakuja wenyewe
Aise...katika ukristo iko kitabu gan na mstar gan na pia katika Quran ipo katika aya gan tuambizane
 
Aise...katika ukristo iko kitabu gan na mstar gan na pia katika Quran ipo katika aya gan tuambizane
sasa ukiwa mkristo safi ili udumu na mwanamke kua mbishi sn,jiamini,kua na maamuzi,toa msaada kwa kiasi ,usionyeshe roho nzuri hasa ukiwa na mkeo karibu....yote hayo sio dhambi yatakusaidia ....na sio ushauri ya kijinga wa hapo juu....nkama wewe mdada sijui utaniambia nn khs wanawake mnk mi nashauriwa na mwanaume,mwanamke KAMWE hajui anachotaka nkazi ya mwanaume kujua mwanamke husika antaka nn
 
Back
Top Bottom