Wanaume wenye huruma

Wanaume wenye huruma

Labda huyo mwanamke sister doo, yupo kwa maslai yake binafsi. Kiufupi anajiuza kwako, hata kama mkeo yupo hivo basi jua umeoa, hasiekupenda kweli anapenda pesa.
Huyo sio mwanaume ni ke tena mke wangu tafadhali mwite shemeji kama wew ni me na kama ww ni ke mwite wifi
 
Labda huyo mwanamke sister doo, yupo kwa maslai yake binafsi. Kiufupi anajiuza kwako, hata kama mkeo yupo hivo basi jua umeoa, hasiekupenda kweli anapenda pesa.
Pesa ndo medium of exchange, bila pesa maisha yanakwendaje? Wapo watu ambao wake zao wamewakimbia kwa sababu hawana hata pesa za kumudu mahitaji makuu ya msingi ya mwanadamu, wachilia mbali wale wanaojiuza, kama mwanaume hana pesa mapenzi atayasikia kwenye bomba
 
Hamna ni kawaida
Mwanamke akisha gundua una mpenda sana anahisi huwezi ishi bila yeye, anadhani yaan amekuweka kwenye kiganja, wale wanao wa ignore ndo wanawang'ang'ania yaani hiyo ipo mnoo.

*sikiliza wimbo wa siwema wa Marijani Rajab ndo utapata picha nnayo ongea

Hao ni sister duu. Afu inabidi ujue tofauti ya sister duu, mmalaya na changudoa. Na kama unadandia hawa watu, daaah umepotea njia.
Kina wema sepetu kweli wapo wengi,,, Husifananishe na wanawake wanaojitambua na kujiheshm.

Na kama your mother alikuwa hivo kwa baba yako,, jua mama yako hakumpenda baba yako kwa dhati, hivo unaweza kuona ni kawaida kumbe si kawaida.

Hata mtoto mama yake kama ni changudoa, unajua yule mtoto anafikiri mwanamke kujiuza ni kawaida, ingawa si kawaida.

Nafikiri unahitaji elim tosha, i change your mind. Au inabidi uishi mazingira mengine sio hayo ulioyazoea ya kisister duu
 
Mi sihitaji elim, ukweli nna uona na nna ujua.
Yaan the moment unajifanya gentleman ndio the moment unapewa madharau.
*wachache wanao thamini kupendwa hawawezi kosa ila wengi ni shdaa
 
1475185514324.jpg
 
Mi sihitaji elim, ukweli nna uona na nna ujua.
Yaan the moment unajifanya gentleman ndio the moment unapewa madharau.
*wachache wanao thamini kupendwa hawawezi kosa ila wengi ni shdaa

sawa
 
***** yaan km unataka usidumu na mwanamke bas kua na sifaa nzuri za hapo juu kwenye post aloo atagongwa huyo hadi na mateja hlf atarudi kwako kuomba mrudiane
..kuna mwanamke hapendi mwanaume katili?kuna mwanamke hapendi mwanaume malaya?kuna mwanamke hapendi mwanaume mwenye sifa na mamlaka? nkama unataka umshauri mwanaume apendwe na wanawake wengi kwa mda mfupi mfundishe kua malaya,katili,mchoyo,muongo yaan huyo ht tongoza watakuja wenyewe
 
Mwanaume mwenye huruma, ni mpenda wanawake, anaethamini wanawake, na ni mkweli, na mwenye moyo mzuri, huyu upendwa tu hata kama hana pesa. Na hudumu kwenye ndoa.

Wanaume wakatili, wabakaji, wenye maneno mabovu, waharibifu wa wanawake, wababe wababe, wazinzi, wenye dharau, wenye kuthamini marafiki na magroupe kuliko mwanamke wake, wanaopenda mamlaka na ukubwa ukubwa, wanaopenda sifa sifa, waongo, wanaojifanya wajanja, hawa wanaitwa washenzi type, hawa hawapendwi na hawadumu kwenye ndoa.

Wakifulia ukimbiwa, dawa yao ni kukomolewa na kuwadai pesa nyingi, bila pesa hawapendwi. Kwahiyo mnaopendewa pesa, basi mjue labda munadosari.
Yakhe! mie mpole ati....kumbe ndiyo tunatakiwa at, basi vzr......
 
Back
Top Bottom