Mr Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 1,670
- 767
Mwanaume mwenye huruma, ni mpenda wanawake, anaethamini wanawake, na ni mkweli, na mwenye moyo mzuri, huyu upendwa tu hata kama hana pesa. Na hudumu kwenye ndoa.
Wanaume wakatili, wabakaji, wenye maneno mabovu, waharibifu wa wanawake, wababe wababe, wazinzi, wenye dharau, wenye kuthamini marafiki na magroupe kuliko mwanamke wake, wanaopenda mamlaka na ukubwa ukubwa, wanaopenda sifa sifa, waongo, wanaojifanya wajanja, hawa wanaitwa washenzi type, hawa hawapendwi na hawadumu kwenye ndoa.
Wakifulia ukimbiwa, dawa yao ni kukomolewa na kuwadai pesa nyingi, bila pesa hawapendwi. Kwahiyo mnaopendewa pesa, basi mjue labda munadosari.
aaaaaa kwani atakupokonya pesa ? ukitoa ni wewe umekubali sema SINA SIKUPI