100% African mimi, ugum upo wapi?
Hivi inawezekana kuingia na makubaliano na mwanamke wa kibongo umlipe akuzalie mtoto then msijuane?
Kwani lazima muombewe? Si mjiombee wenyewe?
Unauliza ugumu uko wapi? Hilo swali ilibidi mimi ndiyo nikuulize wewe maana hakuna ugumu wowote ila nashangaa kwanini wanaume wa kiafrika hamtaki kufanya hivyo!
Maombi ya wife au husband yananguvu zaidi kwa mwenzi
Siri yakuombewa, situnaombea nakuombewa sweetheart!
Sawa, ila wanaume ndiyo huwa mnalazimisha wanawake wawaombee kuliko ninyi mnavyowaombea wao.Sio wote, hata wanawake ni vivyohivyo mambo haya yapo both sides na sio wote.
Sawa, ila wanaume ndiyo huwa mnalazimisha wanawake wawaombee kuliko ninyi mnavyowaombea wao
Hao wanaume wenyewe wanaoombea wako wapi?
mimi nataka wa namna hii, habari ya kuishi na mke sitaki
kuisikia
Sindio sisi hawahawa jamani
Hawawezi toka peponi, wanawake ndio nyinyi na wanaume ndio sisi
Tabia zetu haziwezi kulingana ndio uumbaji
Walevi
Walokole
Wanafiki
Malaya (wanawake na wanaume)
Wenye Tabia nzuri
Nknk
Kila la herikabisa mkuu,
Na wanawake nao huchepuka muda gani?Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa wanachepuka mida ya mchana wawapo kazini
1.Wanatumia muda wa break fast
2.Muda wa lunch
3.Na baada ya kutoka job kabla ya kufika nyumbani
3.Akifika nyumbani mpoleee kama hakuna kilichotokea
WARNING :Matha House zidisha maombi juu ya hawa watu janga hili ni kubwa bila Mungu haiwezekani
Ova
Wenzio waliapa hivyo hivyo, lakini hadi wakazaa naoNitafanya yote ila si kutembea na mume wa mtu