Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa wanachepuka mida ya mchana wawapo kazini

Unauliza ugumu uko wapi? Hilo swali ilibidi mimi ndiyo nikuulize wewe maana hakuna ugumu wowote ila nashangaa kwanini wanaume wa kiafrika hamtaki kufanya hivyo!
100% African mimi, ugum upo wapi?
 
Unauliza ugumu uko wapi? Hilo swali ilibidi mimi ndiyo nikuulize wewe maana hakuna ugumu wowote ila nashangaa kwanini wanaume wa kiafrika hamtaki kufanya hivyo!

Sio wote, hata wanawake ni vivyohivyo mambo haya yapo both sides na sio wote.
 
Wanawake wengi hamjui faida za kuwa na mwanaume anaechepuka. Mngekua mnazijua faida zake, mngewatafutia waume zenu michepuko..!!
 
Hao wanaume wenyewe wanaoombea wako wapi?

Sindio sisi hawahawa jamani

Hawawezi toka peponi, wanawake ndio nyinyi na wanaume ndio sisi

Tabia zetu haziwezi kulingana ndio uumbaji

Walevi
Walokole
Wanafiki
Malaya (wanawake na wanaume)
Wenye Tabia nzuri
Nknk
 
Wapo japokuwa hawajiweki waziwazi sana hadi akufahamu na kukuzoea. Nimeshakumbana na wanawake watatu wanaohitaji kuwatia mimba tu kisha tusijuane
mimi nataka wa namna hii, habari ya kuishi na mke sitaki
kuisikia
 
Haya
Sindio sisi hawahawa jamani

Hawawezi toka peponi, wanawake ndio nyinyi na wanaume ndio sisi

Tabia zetu haziwezi kulingana ndio uumbaji

Walevi
Walokole
Wanafiki
Malaya (wanawake na wanaume)
Wenye Tabia nzuri
Nknk
 
Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa wanachepuka mida ya mchana wawapo kazini

1.Wanatumia muda wa break fast
2.Muda wa lunch
3.Na baada ya kutoka job kabla ya kufika nyumbani
3.Akifika nyumbani mpoleee kama hakuna kilichotokea

WARNING :Matha House zidisha maombi juu ya hawa watu janga hili ni kubwa bila Mungu haiwezekani

Ova
Na wanawake nao huchepuka muda gani?
 
Back
Top Bottom