Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa wanachepuka mida ya mchana wawapo kazini

kwel
Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa wanachepuka mida ya mchana wawapo kazini

1.Wanatumia muda wa break fast
2.Muda wa lunch
3.Na baada ya kutoka job kabla ya kufika nyumbani
3.Akifika nyumbani mpoleee kama hakuna kilichotokea

WARNING :Matha House zidisha maombi juu ya hawa watu janga hili ni kubwa bila Mungu haiwezekani

Ova
kweli kabisa, yaani kama vile unanisema mm
 
Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa wanachepuka mida ya mchana wawapo kazini

1.Wanatumia muda wa break fast
2.Muda wa lunch
3.Na baada ya kutoka job kabla ya kufika nyumbani
3.Akifika nyumbani mpoleee kama hakuna kilichotokea

WARNING :Matha House zidisha maombi juu ya hawa watu janga hili ni kubwa bila Mungu haiwezekani

Ova
Vipi kuhusu wanawake walioolewa na wameajiriwa au jiajiri? Waweza kuta mume na mke wote wanachepuka mida hiyo.
 
Lady of destiny hao wanaume wasio na michapuko hawana ela
, ukitaka kuijua tabia ya mwanaume kuwa na mausiano nae tangu akiwa masikini wa kipato mpaka muwe na kipato kizuri utaona anaanza kutoka na totozi wengine, ila nyinyi madada mnakosea .mnaibukia wanaume wenye pesa zao inakuwa ngumu kuelewa tabia zao, ushauri wangu wanawake anzisha mausiano na mwanaume akiwa hana kipato ili uijue vizuri tabia yake.
Tabia ya mtu ni kama ngozi, si suala la hela wala nini
Ujaona vile vibaharia vidogo dogo vya 4m4,3,2,1 au la saba, vinaonga hadi madaftari peni ice cream na mandazi??????
 
Mwongo we kabinti. Utanijuaje kama mie mume was MTU?
Hahahahhaa!!!!!

Kama ilivyo dhahabu kwenye pua ya nguruwe kadhalika mwanamke mzuri asiye na AKILI

Namaanisha VIASHIRIA HUWA NI VINGI sana, usipoenda pupa utajua, ukijipa nafasi na utulivu, inaweza ika take time mana kuna mabaharia hatari sana lakini at the end of the day unaweza kuelewa
.
Labda kama katelekeza familia katika mkoa A kahamia mkoa B
hana mahusiano nao kabisa na haendi kuwaona wala apigi simu
 
Hohohoho nacheka kijini mwanaume wa kiafrika ugundue mwanamke wako anachepuka halafu eti umuombee? Labda kama wewe siyo mwanaume wa kiafrika aise!
Hili swali Marianah hapa chini, ikinirokea

Nafanya maombi

Marianah said:
Siyo wamama wafanyaje wababa ndiyo waache kuchepuka!

Kwani wewe ukigundua kuwa mpenzi au mke wako anachepuka utafanyaje?
 
Niiombee familia na niombee uchumi na bado natakiwa nifanye maombi ya furushi..wanawake tuna kazi sana
 
Back
Top Bottom