Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa wanachepuka mida ya mchana wawapo kazini

Wanaume kwa wanawake walio kwenye ndoa na si wanaume pekee
Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa wanachepuka mida ya mchana wawapo kazini

1.Wanatumia muda wa break fast
2.Muda wa lunch
3.Na baada ya kutoka job kabla ya kufika nyumbani
3.Akifika nyumbani mpoleee kama hakuna kilichotokea

WARNING :Matha House zidisha maombi juu ya hawa watu janga hili ni kubwa bila Mungu haiwezekani

Ova
 
Lady of destiny hao wanaume wasio na michapuko hawana ela
, ukitaka kuijua tabia ya mwanaume kuwa na mausiano nae tangu akiwa masikini wa kipato mpaka muwe na kipato kizuri utaona anaanza kutoka na totozi wengine, ila nyinyi madada mnakosea .mnaibukia wanaume wenye pesa zao inakuwa ngumu kuelewa tabia zao, ushauri wangu wanawake anzisha mausiano na mwanaume akiwa hana kipato ili uijue vizuri tabia yake.
Mnajiangamiza kwa misemo yenu ya kujitia moyo

Kutulia inawezekana

Mbona wapo wanaume wasio na michepuko???
 
Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa wanachepuka mida ya mchana wawapo kazini

1.Wanatumia muda wa break fast
2.Muda wa lunch
3.Na baada ya kutoka job kabla ya kufika nyumbani
3.Akifika nyumbani mpoleee kama hakuna kilichotokea

WARNING :Matha House zidisha maombi juu ya hawa watu janga hili ni kubwa bila Mungu haiwezekani

Ova
Sema wanawake, maana sisi tuna mda mzuri sana baada ya kazi
 
Kadiri miaka inavyosonga mbele hili litakuwa jambo la kawaida sana. Kwa sasa wapo wachache japo hawajiweki wazi sana na wengi wao wana kazi zao na vipato vyao.

Kutokana na uzoefu wangu
mimi nataka wa namna hii, habari ya kuishi na mke sitaki
kuisikia
 
Mie ni muhanga mkubwa wa kuchepuka mida hiyo ya kazi, mtoa mada kama umenianika hapa
 
Kama ataweza kuhimili bila kuelemea huko nje na isifahamike atafute.
Ila Kama unajijua kichwa chako kibovu wee endelea kumpenda mumeo tu.
Kumbuka kuwa nikikuacha naoa mwanamke mwingine at any age.
Ukiachwa unakuwa kahaba tu mtaani.!!
Sawa mtakatifu no wonder ndoa zinawashinda..
Kuadhibu mtu kwa kosa hilohilo unalolifanya....

usidhani anybody wins when it comes to divorce
 
Back
Top Bottom