Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 1,737
- 5,804
Hello
Hii staili ya wanawake sijui niite ni udangaji, kukomoa mtu, au kumjaribu mtu, pale ambapo mdada umetongozwa tu leo, kesho unaomba hela, nlishangaa kugundua hadi watoto wa kiume wa form 4 wanaijua hio staili, unaombwa hela, ukiitoa mtu kwenye miadi hatokei, sababu kibao, bora ukimbie, na urafiki uishe.
Hili tatizo la wadada kuomba omba hela lipo dunia nzima, nimechunguza kuwa sio Tanzania tu, kwenye online forum za Nigeria, Kenya, marekani etc koote wanaume wanalalamika mitandaoni
Sijajua future ya mahusiano inaelekea wapi.