Hakuna biashara iliyo na down kwann usitatue, kuachika ni ubinafsi.Hakuna maelewano hakuna furaha kwanin usiachike
Ukitaka kujua siri nyingi,marafiki wakosaneNa kasema kabisa walifanya kazi wote miaka yote hiyo ila akaona hafaidiki chochote wanaokula ni wake wengine,Ndio mwaka akaona amnunulie hiyo nyumba ampe na akamuandikisha kisheria kila kitu ni nyumba ya queen,leo queen kuomba talaka anataka hiyo nyumba ili dada akateseke na watoto
Na wanaume wastaarabu waungwana wapole wake zao pasua kichwa hawajui thamani ya waume zao.Wanaume ni makatili by nature
Omba tu aku treat vizuri wewe
Kwani kwenye mahojiano hayo, huyo mwanamke alisemaje kumhusu Dr Mwaka?Nimesikiliza mahojiano ya alokuwa mke wa Mwaka,kiukweli wanaume wa kitanzania waachane na habari za kuoa wake wengi hawawezi kabisa kuwamudu na kujimudu wao kiakili,mwanamke alikuwa mkeo kakuzalia watoto unataka wakaishi wapi ukiwanyang’anya nyumba,na nyumba ulimpatia hivi wanaume hamuwezi mpa kitu mwanamke kwa roho moja?
Mnataka ukimpa kitu muwe nae pamoja tu awe chini yako,kama hamuwezi muwe mnaacha kutoa maana ni wachoyo na mna roho ndogo na hamuwezi majukumu ya kulea mwanamke na watoto,wanaume wengi pia wapo kama Mwaka mkiachana anataka kukukomesha ujute kumfaham mtu akichoka mwache aende zake. Pia Jaribun kuwaheshim mama wa watoto wenu na kuwasitiri, vizazi vilivyopita viliwaharibu sana vijana wa kiume kwa kuwafundisha kuwa mwanamke hana thamani na kuwadidimiza wanawake.
Ukiangalia wanaume wengi huwa hawaheshimu wake zao ni wachache mno ila wengi wao wakatili,wenye roho mbaya wanaume wakiacha sawa ila wakiachwa wao kosa kubwa wanataka mwanamke aishi ndoa ambayo haifurahii ,mume anakaa mwaka mzima hagusi mke na umeoa wake wengi kisa kuonesha jamii we rijal hivi kwanin wanaume wengi wenye kasoro hujitutumua sana mbele ya jamii.MBADILIKE
Roho ya talaka utafuna kizazi hadi kizazi,utazoea kuachika hovyo utaambukiza watoto wakoKwani hataki kumpa talaka?si ampe
Mimi nikiacha taendelea kutunza mke na watoto.Wanaume wazuri wachache mno wanaothamin watoto na mama zao na kuachana kwa amani
Dini yao inaruhusu cha kufia nini.Anataka talaka yake ,mwaka anamzonga na kumtishia maisha
Ndoa aiendi kimwili bali kiroho zaidi.Hakuna maelewano hakuna furaha kwanin usiachike
Tuwe na mfumo gani wakati sisi ni wanaume?Acheni mfumo dume
hakuna mwanamke mwema anae Kutana na ubaya wa mwanaume.
Na ndani ya ubinafsi hakuna upendoSaivi watu karibu wengi wamekuwa wabinafsi sana,
Mbona hawa wa huku nnaowafahamu naona wengi mke n mmojaHuko ndio waasisi sasa
Hao ni waafrika/watanzaniaMbona hawa wa huku nnaowafahamu naona wengi mke n mmoja
Labda wewe tu mkuu,wako wanawake wema na wanakutana na ubaya wa mwanaume vilevile,Nielewe tena , ukiona mwanaume mbaya kwa mwanamke ujue ubaya umetoka kwa mwanamke, hakuna mwanamke mwema anae Kutana na ubaya wa mwanaume.