Kabisa,ni shida mkuuHizo ndio hasara za kuolea jamii, kupenda sifa ni kubaya sana.
Moderator mje kupin hii replyNielewe tena , ukiona mwanaume mbaya kwa mwanamke ujue ubaya umetoka kwa mwanamke, hakuna mwanamke mwema anae Kutana na ubaya wa mwanaume.
Ukiachana na mimi acha mali yangu... Ondoka kama ulivyo kuja, ikiwezekana beba na watoto wakoSasa humlali wewe na unamuita mkeo na bado ni kijana yaan ndo unataka aishije? Inamaana kukaa mwaka mzima bila kugusana ni wazi hakuna ukaribu kati yenu, unataka aendelee kukaa kwako km mkeo kisa nini? Nyumba unampokonya je watoto aliozaa wataishije? Ukichukua nyumba unamkomo yeye au unatesa watoto wako
Sawa shida huwa mnaletaga jeuri mkishapata mabahasha wengine ila sasa basi ukae kwa adabu. Umepata bwana nenda kaolewe ila usije ukamleta hapo kwangu. Hakikisha nae anakupangia nyumba unahama hapo. Sio kisa tumeachana uanze maisha na bahasha wako kwenye nyumba niliokupa mimi.Huwezi kuishi na mtu miaka mingi halaf aondoke patupu hakuna
Kaandikishwa kisheria ile nyumba na mwanamke hajataka kugawana mali zingine zozote kamuachia Yaan tuishi wote uniache bila kitu na watoto wangu na una wake wengi na watoto kibao
Mwanamke ana haki zake
Sawa olewa ila usikae na bwana wako kwenye nyumba yangu. Akakujengee pengine huko ila usianze maisha na mtu mwengine kwenye boma la watoto wangu.Unaona Yaan aachike akae tu bila bwana wanaume wabinafsi nyie akili za wanaume wa Tz ni dume
Mwanamke ni binadam ana haki ya kuolewa akiachika
Huyu dada kaomba talaka muda mrefu sanaa hapewii mpaka kutoa hadharan ni amechoka sana ,mwaka hataki anataka awe chini yake kama mtumwaSawa shida huwa mnaletaga jeuri mkishapata mabahasha wengine ila sasa basi ukae kwa adabu. Umepata bwana nenda kaolewe ila usije ukamleta hapo kwangu. Hakikisha nae anakupangia nyumba unahama hapo. Sio kisa tumeachana uanze maisha na bahasha wako kwenye nyumba niliokupa mimi.
Ukichunguza kwa makini utagundua kuna mtu anam pressure huyo mwanamke aombe talaka fasta ili awe huru kuwa nae ikibidi amuoe. Sio rahisi mke kukosa uvumilivu ikiwa hamna mtu anayemtia nje ya ndoa.
Umelalamika zaidi badala ya kutoa mizania.Nimesikiliza mahojiano ya alokuwa mke wa Mwaka,kiukweli wanaume wa kitanzania waachane na habari za kuoa wake wengi hawawezi kabisa kuwamudu na kujimudu wao kiakili,mwanamke alikuwa mkeo kakuzalia watoto unataka wakaishi wapi ukiwanyang’anya nyumba,na nyumba ulimpatia hivi wanaume hamuwezi mpa kitu mwanamke kwa roho moja?
Mnataka ukimpa kitu muwe nae pamoja tu awe chini yako,kama hamuwezi muwe mnaacha kutoa maana ni wachoyo na mna roho ndogo na hamuwezi majukumu ya kulea mwanamke na watoto,wanaume wengi pia wapo kama Mwaka mkiachana anataka kukukomesha ujute kumfaham mtu akichoka mwache aende zake. Pia Jaribun kuwaheshim mama wa watoto wenu na kuwasitiri, vizazi vilivyopita viliwaharibu sana vijana wa kiume kwa kuwafundisha kuwa mwanamke hana thamani na kuwadidimiza wanawake.
Ukiangalia wanaume wengi huwa hawaheshimu wake zao ni wachache mno ila wengi wao wakatili,wenye roho mbaya wanaume wakiacha sawa ila wakiachwa wao kosa kubwa wanataka mwanamke aishi ndoa ambayo haifurahii ,mume anakaa mwaka mzima hagusi mke na umeoa wake wengi kisa kuonesha jamii we rijal hivi kwanin wanaume wengi wenye kasoro hujitutumua sana mbele ya jamii.MBADILIKE
Sasa hii ndio point. Tusioe. Tutombanage tuu alafu kila mtu achukue time yakeKwani umpe kitu uvitake tena watoto wakaishi wapi ?msioe sasa
Mwaka ameishika mpaka bakwata sio!!Huyu dada kaomba talaka muda mrefu sanaa hapewii mpaka kutoa hadharan ni amechoka sana ,mwaka hataki anataka awe chini yake kama mtumwa
Yani kuishi na mimi siyo tiketi ya kupata kitu. Tafuta vya kwako uone kama nitaving'ang'aniaKaandikishwa kisheria ile nyumba na mwanamke hajataka kugawana mali zingine zozote kamuachia Yaan tuishi wote uniache bila kitu na watoto wangu na una wake wengi na watoto kibao
Mwanamke ana haki zake
Ukifanya kosa wewe na nimekujengea mimi, utaondoka utaacha kila kitu na watoto wangu ntachukua, ambao watakaa kwenye hiyo nyumba, nowdays mna tabia mbaya na mnajificha kwenye umwanamke wa kuonewa hurumaNimesikiliza mahojiano ya alokuwa mke wa Mwaka,kiukweli wanaume wa kitanzania waachane na habari za kuoa wake wengi hawawezi kabisa kuwamudu na kujimudu wao kiakili,mwanamke alikuwa mkeo kakuzalia watoto unataka wakaishi wapi ukiwanyang’anya nyumba,na nyumba ulimpatia hivi wanaume hamuwezi mpa kitu mwanamke kwa roho moja?
Mnataka ukimpa kitu muwe nae pamoja tu awe chini yako,kama hamuwezi muwe mnaacha kutoa maana ni wachoyo na mna roho ndogo na hamuwezi majukumu ya kulea mwanamke na watoto,wanaume wengi pia wapo kama Mwaka mkiachana anataka kukukomesha ujute kumfaham mtu akichoka mwache aende zake. Pia Jaribun kuwaheshim mama wa watoto wenu na kuwasitiri, vizazi vilivyopita viliwaharibu sana vijana wa kiume kwa kuwafundisha kuwa mwanamke hana thamani na kuwadidimiza wanawake.
Ukiangalia wanaume wengi huwa hawaheshimu wake zao ni wachache mno ila wengi wao wakatili,wenye roho mbaya wanaume wakiacha sawa ila wakiachwa wao kosa kubwa wanataka mwanamke aishi ndoa ambayo haifurahii ,mume anakaa mwaka mzima hagusi mke na umeoa wake wengi kisa kuonesha jamii we rijal hivi kwanin wanaume wengi wenye kasoro hujitutumua sana mbele ya jamii.MBADILIKE
Msioe kaeni na vitu vyenu
Wanaume ni makatili by nature
Omba tu aku treat vizuri wewe