Wanaume wengi ni sumu katika mahusiano

Wanaume wengi ni sumu katika mahusiano

Kwanini unaoa afu hugongi? Unataka afanyaje? Ndoa sio mateso.
Nmekuoa mwaka Huu, nmeendelea kukupiga pumbu sana tuuuu miaka sita.

Tumezaaa watoto wawili.

Nmepata shida inayofanya ama nisikupige pumbu kabisaz au nikupige kawaida lkn bado tunaweza kuzaa.

Je hiyo inatosha kukufanya Uniache ???. Kwan maana ya shida na Raha niipi?.

Huwez tu kusema, Mume wangu nakupenda kua na Amani, sitokusaliti, tulee watoto wetu??.

Yaaan nyege gan hizo kwamba usipopigwa pumbu, utakufaa??.
 
Nashindwa kuunga dots kwenye bold

Nashindwa kuunga dots kwamba mimi nina mapungufu tayari na mke wangu ameshakubali iwe siri yetu ya ndani sasa kitakachonifanya mimi leo nianze kujionyesha kwake kwamba yeye si lolote si chochote ni nini?

Hakuna mwanaume wa hivyo take it from me huyo atakuwa mzinzi ila siyo ili wewe ujue heshima yako kama mke itabaki pale pale but ukiona amefanya hayo mambo hadi ukajua wewe mwenyewe jichunguze ndiye mwenye dosari.
Na hii ndo Point yangu.... Yaan sio tu mapungufu ,Bali yamekujaa tayari tumeshazaa.

Sibora kama hatujazaa, ndo utasema huwez Ishi bila mtoto???.

Hiki kizazi ovyo sana, yaan kimejaa ubinafsi sana
 
Wazee wetu wa zamani walipigwa hizo chenga na wanawake. Wanawake walikuwa wanatumia mgongo wa mapenzi au watoto kuwachuma wanaume. Hii imewafanya wazee wengi kufuria uzeeni maana Mali zao nyingi zimeliwa au kuchukuliwa na wanawake. Kwa Sasa karibu nyumba nyingi malandlord ni wamama, either mmewe amefariki au amemchuma Kwa mgongo wa watoto au mapenzi. Wanaume wa Sasa wamepevuka mapenzi hayana Tena nafasi ya kuteka ufahamu kiasi umuachie nyumba au Mali mwanamke. Hivyo usishangae kabisa wanaume wa Sasa wameelimika.
Hapa sikupingi mkuu, na wazee walikufa kufa sana enzi hizo dhidi ya wake zao kwa ajili ya mali.

Ila ukiwa bado unakauwezo, unaiachia tu familia unaenda kupambana.
 
Nmekuoa mwaka Huu, nmeendelea kukupiga pumbu sana tuuuu miaka sita.

Tumezaaa watoto wawili.

Nmepata shida inayofanya ama nisikupige pumbu kabisaz au nikupige kawaida lkn bado tunaweza kuzaa.

Je hiyo inatosha kukufanya Uniache ???. Kwan maana ya shida na Raha niipi?.

Huwez tu kusema, Mume wangu nakupenda kua na Amani, sitokusaliti, tulee watoto wetu??.

Yaaan nyege gan hizo kwamba usipopigwa pumbu, utakufaa??.

Wewe unaweza au mwanamke avumilie tu ila shida ikiwa yake wewe hata wk hunalizi ushasepa.

Mimba tu hamuwezi vumilia vp maradhi?
 
Hapa sikupingi mkuu, na wazee walikufa kufa sana enzi hizo dhidi ya wake zao kwa ajili ya mali.

Ila ukiwa bado unakauwezo, unaiachia tu familia unaenda kupambana.
Kwa maisha ya Sasa hata mtu awe na uwezo wengi hawawezi kuwaachia nyumba wanawake sababu ya maadili ya Sasa. Zamani pia wazee waliweza kuwaachia wanawake nyumba na wanawake wakaweza kuweka heshima na kubaki kulea watoto wake tu bila kuolewa Tena. Sasa hivi hiki kizazi ukimuachia rahisi kurubuniwa na Bwana mpya Kwa mgongo wa mapenzi mwishowe wanauza nyumba na Bwana mpya na kuwaacha watoto wakiangaika maana akili za Sasa tofauti na zamani. Watu wanaendekeza mgegedo tu bila kufikiria future wa watoto.
 
Tukiwaambia kataeni ndoa mnatuongelea vbaya hao wake wenu wa ndoa wanazivunja wanakuja huku kwetu kwa sisi wakataa ndoa.,
 
Kabisa ukewenza uliletwa kumdidimiza mwanamke tu wanaume wanajiona wana mamlaka ya kila kitu
Kama ni muumini wa dini, kwa imani za dini (hususani ukristo), mwanaume ana mamlaka ya kila kitu, kupingana na hiyo ni kazi sana, ni kama kupigana na jiwe
 
Mwanaume anayejielewa hawezi chukua hata kijiko pindi wakitengana na mkewe.

Shida inakuja pale mwanamke anaanza kumtambia mwanaume baada ya kuachiwa mali. Kwa mwanamke asiye na vitambo unamuachia tu.

Hajamtambia popote mke anataka talaka na mwaka hataki kutoa talaka
 
Wewe dada acha ujinga. Yaan nikupe halafu ukatumie na nani? We unafikir ukitoka kwenye himaya ya mume wako utaendelea kuwa single na ufinyu wa akili ulio nao?

Ni huruma tu ndo itakayofanya nikuachie mali zangu, nikiamua sikupi! Yaan nipambane kutafuta mali zangu univuruge halaf tuachane nikuachie na mali zangu? Upuuzi kabisa! Naishukuru serikali ya KENYA wale jamaa wanajitambua angalau.

Narudia ni huruma tu ndo zitakazonifanya nikuachie mali zangu!

Sisi ni viongozi wenuuuuu tusikilizeni ili tutembee pamoja acheni ukaidi.

Andiko limeniboa kinomaaa.

Mkiombwa talaka mtoe kuna sheria na taratibu na za ndoa haiwezekan muishi milele kama tabia mbovu
 
Kwa maisha ya Sasa hata mtu awe na uwezo wengi hawawezi kuwaachia nyumba wanawake sababu ya maadili ya Sasa. Zamani pia wazee waliweza kuwaachia wanawake nyumba na wanawake wakaweza kuweka heshima na kubaki kulea watoto wake tu bila kuolewa Tena. Sasa hivi hiki kizazi ukimuachia rahisi kurubuniwa na Bwana mpya Kwa mgongo wa mapenzi mwishowe wanauza nyumba na Bwana mpya na kuwaacha watoto wakiangaika maana akili za Sasa tofauti na zamani. Watu wanaendekeza mgegedo tu bila kufikiria future wa watoto.

Unaona Yaan aachike akae tu bila bwana wanaume wabinafsi nyie akili za wanaume wa Tz ni dume
Mwanamke ni binadam ana haki ya kuolewa akiachika
 
Alivitaka ili kuwanyima watoto makazi au kumnyima aliemwacha

Yeye akiwa kama baba hawez kukosa namna

Kaandikishwa kisheria ile nyumba na mwanamke hajataka kugawana mali zingine zozote kamuachia Yaan tuishi wote uniache bila kitu na watoto wangu na una wake wengi na watoto kibao
Mwanamke ana haki zake
 
Back
Top Bottom