Wanaume wengi ni sumu katika mahusiano

Wanaume wengi ni sumu katika mahusiano

Wanaume weusi kawaida kukandamiza wanawake mmezoea ila sasa hiv wanawake sio kama wa zamani
Ni kweli nakubali asilimia kubwa Wanaume ni wakandamizaji. Ajabu kabisa katika hili Mwanamke wa Kiafrika naye ukiwa mpole na Gentle ana kudharau mpaka unashangaa.

Kifupi Kiafrika afrika wanawake wetu wanataka kuongozwa kama Ng'ombe.

Dejane mimi nitakwambia Mwanaume wa Kibongo mchapa kazi, mstaarabu anayetunza familia yake vizuri, si mlevi wala mgomvi ndio huwa wanadharuriwa na wake zao badala ya kupendwa.

Wanaume hawa inafika mahali wake zao wanazaa nje ya ndoa na kubambikiwa watoto.....kesi ni nyingi na zingine zinaishia mtaani kimya kimya.

Sasa sijui hata tufanyeje.

Ni wakati sote wanaume kwa wanawake tukubali kubadilika
 
Yeye anasema wanaume wa kitanzania au wa kiafrika sawa. Hao wakizungu wanaoweza kufanya hui ujinga wako Nchi gani?
Huyu Dada ana mawazo mazuri lakini kwa hii ya leo amepotoka sana.
Anachukulia maisha poa sana.

Wanaume tunapata pesa na mali kwa hustle kubwa sana, zingine ni hatari kabisa ndio maana hatutakagi ujinga hata uende Marekani ni hivyo hivyo.

Huyu dada anakuwaga na mawazo mazuri humu JF ila kwenye hili amenishangaza hasa pale alipotetea kuwa, huyo mwanamke ni mzuri hivyo mwaka akimpa talaka ataolewa tuu. Kiburi cha uzuri.

Uzuri tambia kwa wavulana sio wanaume.
 
Mwaka hamtaki mwanamke , Wala anavyokamaa sio kwamba mwanamke arudi kwake kimapenzi.

Mwaka kaamua kukomesha tu, na huo ndio umwamba Kwa mwanamke mwenye ujanja ujanja

Kwanin ukomeshe kisa umeombwa talaka Yaan nyie mkitoa talaka sawa mkiombwa talaka kosa kaaa
 
Nachukia tabia zenu za kuwakandamiza wanawake na kuwaona hawana thamani na hamna utu na pia tunayaona kwenye jamii wanawake wengi wanateswa mno kwenye ndoa,wachche mno walio na nafuu
Nakubaliana na wewe unawasemea watu wengi.

Na mimi nitaunga mkono kukemea ukatiri dhidi ya wanawake.
 
Huyu dada anakuwaga na mawazo mazuri humu JF ila kwenye hili amenishangaza hasa pale alipotetea kuwa, huyo mwanamke ni mzuri hivyo mwaka akimpa talaka ataolewa tuu. Kiburi cha uzuri.

Uzuri tambia kwa wavulana sio wanaume.
Kiburi cha uzuri na mali kimeharibu mahusiano sana
 
Huyu dada anakuwaga na mawazo mazuri humu JF ila kwenye hili amenishangaza hasa pale alipotetea kuwa, huyo mwanamke ni mzuri hivyo mwaka akimpa talaka ataolewa tuu. Kiburi cha uzuri.

Uzuri tambia kwa wavulana sio wanaume.

Ni mzuri kweli huyo mwanamke hujamuona na mwaka hataki kutoa talaka anaona ataenda olewa kwingine ,kwani mkiachana mtu asiolewe kisa
 
Nakubaliana na wewe unawasemea watu wengi.

Na mimi nitaunga mkono kukemea ukatiri dhidi ya wanawake.

Nikuambie kitu hakuna kitu wanaume hawapendi kama kuombwa talaka ila wao wakitaka kutoa safi tu não hii yote ni mfumo dume,wanawake wa sasa sio kama wa zamani wanaoweza vumilia kipigo manyanyaso enzi zimebadilika
 
Kwanin ukomeshe kisa umeombwa talaka Yaan nyie mkitoa talaka sawa mkiombwa talaka kosa kaaa
Dejane ,nadhan hatuelewan hapa

Talaka ni haki yako, weee omba nitakupa.

Swali liko kwenye utumiaji wa Mali, nloamua kukupa wanangu, ila kwakua wewe ndio unawalea, ziwe chini yako.

Hapooo hapooo ndioo kwenye ukakasi na hamna mwanaume wa kuona nyumba alokuachia kwaajili ya watoto.

Ndio hiyo inayotumika sasaz kupelekewa moto 😂😂
 
Ishi nami tumia vitu vyangu. achana nami acha na vitu vyangu..simple like that.
Vinakuaje vyako peke yako wakati mwanamke nae nimshiriki katika utafutaji wa riziki.
Mfano huyo mwanamke ameshiriki kuuza dawa zao hizo hivyo huwezi kumtenga kabisa na mafanikio.

Kwaufupi ukitaka kuachana na mwanamke jipange kuupitisha mgao wa mali
 
Sheria haipo hivyo

Kwa hiyo anapambania mali sio ndoa? Sheria inasema mje mtufanye mission na msepe?

Dada kwa hili umepuyanga. Hao wawili wanajuana wenyewe, ila kwa nje tunaweza kusema mengi ila sio kutupia lawama wanaume wala wanawake wote

Huyo mwanamke kama angekuwa amejijenga kwa vingi yeye kama yeye asingegombea nyumba ambayo hajaijenga

Sasa mpandisheni fikra ajitafute kuliko kumsifia mzuri mzuri kuwa ataolewa tena anaziba shimo la panya kwa mkate.

Hao hawawezi kuwa kioo cha kuakisi tabia za wanaume ila unalolitetea la kulilia nyumba ndio “mission” za wanawake wa kisasa na ndio maana wanaume wanakuja na very aggressive reaction….kuna uzi humu wa [mention]DeepPond [/mention]na mkewe kauchungulie.
 
Na kasema kabisa walifanya kazi wote miaka yote hiyo ila akaona hafaidiki chochote wanaokula ni wake wengine,Ndio mwaka akaona amnunulie hiyo nyumba ampe na akamuandikisha kisheria kila kitu ni nyumba ya queen,leo queen kuomba talaka anataka hiyo nyumba ili dada akateseke na watoto
 
Kwa hiyo anapambania mali sio ndoa? Sheria inasema mje mtufanye mission na msepe?

Dada kwa hili umepuyanga. Hao wawili wanajuana wenyewe, ila kwa nje tunaweza kusema mengi ila sio kutupia lawama wanaume wala wanawake wote

Huyo mwanamke kama angekuwa amejijenga kwa vingi yeye kama yeye asingegombea nyumba ambayo hajaijenga

Sasa mpandisheni fikra ajitafute kuliko kumsifia mzuri mzuri kuwa ataolewa tena anaziba shimo la panya kwa mkate.

Hao hawawezi kuwa kioo cha kuakisi tabia za wanaume ila unalolitetea la kulilia nyumba ndio “mission” za wanawake wa kisasa na ndio maana wanaume wanakuja na very aggressive reaction….kuna uzi humu wa [mention]DeepPond [/mention]na mkewe kauchungulie.

We nae hata hunielewi narudia walikuwa wakifanya kazi wote pamoja alivyoona hafaidiki yeye wanafadika wake wadogo wakaongea Ndio akanunuliwa hiyo nyumba akaandikishwa ni yake mwanamke
Huyo mwanamke hajataka mali za mwaka na hataki huelewi kipi,nyumba ni ya mwanamke we unakngelea mali zipi acha kukomaza kichwa elewa
 
Back
Top Bottom