Wanaume wengi ni sumu katika mahusiano

Wanaume wengi ni sumu katika mahusiano

Kataa ndoa ndoa ni utapel , kuna manyumbu ya kiume yameshikwa kwenye ndoa na wadada wa kizazi hiki yatakuja kutukana apa
 
Nimeona ni huzuni japo hatujui siri ya nyumba nadhani mwaka ni aina ya Wanaume mwenye roho ya ubinafsi,chuki na kisasi.

Nasikia akikasirika tu hatoi pesa za matumiz anazira
Ila wanaume wengi wanapenda kunyenyekewa ile ya kiutumwa kabisa na hawajui thaman ya mwanamke acha mzungu awe mzungu ngozi nyeusi tabu sana
 
Nasikia akikasirika tu hatoi pesa za matumiz anazira
Ila wanaume wengi wanapenda kunyenyekewa ile ya kiutumwa kabisa na hawajui thaman ya mwanamke acha mzungu awe mzungu ngozi nyeusi tabu sana
Mkuu heshimu tamaduni zetu wazungu ni wapuuzi tu kama ulishawahi ishi nchi zao mtoto wakiume anamwambia baba yake amepata wakumzagamua ,hakuna wajinga kama wazungu nmeishi nao nawajua ata akili hawana
 
Nasikia akikasirika tu hatoi pesa za matumiz anazira
Ila wanaume wengi wanapenda kunyenyekewa ile ya kiutumwa kabisa na hawajui thaman ya mwanamke acha mzungu awe mzungu ngozi nyeusi tabu sana
Mwaka ni aina ya Mwanaume akimuacha mwanamke anatamani apate tabu yaani apauke achakae kwa tabu.
 
Kama Mwaka kataka mali zake Queen arudishe tu ama la na yeye angetafuta zake alivyokua kwenye ndoa. Haya mambo ya kufika ndoani unakaa tu unasukuma ndoto za mwenzako halafu usubiri kesho muachane udai kugawana mali. Queen angekua na maisha yake asingehangaika kuishi bila amani kisa nyumba. Kama suala ni watoto awarudishe kwa baba yao yeye akatafute maisha apate hela ajenge nyumba yake akae kwa amani.

Ila wanaume wakiachwa wanakuaga na hasira. Mwenzetu kavunja ndoa bila plan B na mwaka kajua pa kumkomeshea ni hapo kwenye mali zake.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Mrembo umeandika point nzuri.
 
mwanamke aishi ndoa ambayo haifurahii ,mume anakaa mwaka mzima hagusi mke na umeoa wake wengi kisa kuonesha jamii we rijal hivi kwanin wanaume wengi wenye kasoro hujitutumua sana mbele ya jamii.
Unataka kusema Tabibu Year hapigi mzigo? Kwahiyo Dawa zake hazitumii?
 
Na ndo mana

Lazima apewe talaka ili aolewe upya mana kisheria anakua bado mke wa mtu,we unaweza oa mwanamke mwenye ndoa?
Mkuu, labda kama anachokihofia ni kwa sababu za kidini, kwamba atakuwa anazini kwa kuwa na jamaa kabla ya talaka. Ila kama ni kwa sababu za kisheria, adhabu atayopata muoaji mpya ni kulipa fidia kwa mume halali, ambapo mtu kama unampenda unaweza tu kufanya, kwamba nitamuoa na kulipa hiyo fidia kama jamaa atadai.

Nafikiri sababu hasa ni za kidini, ndio maana hata suala limechukua muda mrefu huko bakwata, wakati lingeenda baraza la kata tayari angekuwa ameshapata barua yake na kuingia mahakamani kuomba talaka. Nimewahi kuambiwa kuwa wanawake wa kiislamu hutishiwa kuvuliwa uislamu wao ikiwa watapeleka masuala ya ndoa nje ya bakatwa, kwa hiyo wengi huogopa hilo na kuendelea kusubiri process za bakatwa. Njia rahisi kabisa ilikuwa ni kwenda baraza la kata kwa ajili ya suluhu
 
Nachukia tabia zenu za kuwakandamiza wanawake na kuwaona hawana thamani na hamna utu na pia tunayaona kwenye jamii wanawake wengi wanateswa mno kwenye ndoa,wachche mno walio na nafuu
Mwanamke chombo cha starehe lipi hujui
 
Mwanaume akikupa kitu anataka uwe mtumwa wake milele
Hawawez toa kitu aisee sijui waliumbwa na nani
ni ushamba unawasumbua nimemuangalia dr mwaka nikasema sijui hao wanawake walipotea vipi kuwa nae anaonekana ni wa hovyo sana
 
Back
Top Bottom