Wanaume wengi ni sumu katika mahusiano

Wanaume wengi ni sumu katika mahusiano

Nimesikiliza mahojiano ya alokuwa mke wa Mwaka,kiukweli wanaume wa kitanzania waachane na habari za kuoa wake wengi hawawezi kabisa kuwamudu na kujimudu wao kiakili,mwanamke alikuwa mkeo kakuzalia watoto unataka wakaishi wapi ukiwanyang’anya nyumba,na nyumba ulimpatia hivi wanaume hamuwezi mpa kitu mwanamke kwa roho moja?

Mnataka ukimpa kitu muwe nae pamoja tu awe chini yako,kama hamuwezi muwe mnaacha kutoa maana ni wachoyo na mna roho ndogo na hamuwezi majukumu ya kulea mwanamke na watoto,wanaume wengi pia wapo kama Mwaka mkiachana anataka kukukomesha ujute kumfaham mtu akichoka mwache aende zake. Pia Jaribun kuwaheshim mama wa watoto wenu na kuwasitiri, vizazi vilivyopita viliwaharibu sana vijana wa kiume kwa kuwafundisha kuwa mwanamke hana thamani na kuwadidimiza wanawake.

Ukiangalia wanaume wengi huwa hawaheshimu wake zao ni wachache mno ila wengi wao wakatili,wenye roho mbaya wanaume wakiacha sawa ila wakiachwa wao kosa kubwa wanataka mwanamke aishi ndoa ambayo haifurahii ,mume anakaa mwaka mzima hagusi mke na umeoa wake wengi kisa kuonesha jamii we rijal hivi kwanin wanaume wengi wenye kasoro hujitutumua sana mbele ya jamii.MBADILIKE
Mkuu labda kuna sababu za ziada zisizoongelewa jamani!

Kwani kushindwa kumlala mwanamke kwa mwaka mmoja na kukawa na mawasiliano ya udhuru, ndiyo inaweza kujenga chuki ya kuachana?

Kama shida ni hiyo, kwanini asingelikuwa anapanda ndege kwenda kuwajibika, akazembea mwaka kama jina lake!

Na baada ya kuonana na kuutimiza huo wajibu, chuki iliendelea?

Hapo nadhani kuna vijisababu vingine wanavificha, yaweza kuwa kuna limtu fisi maji linawavuruga kwa kurubuni.

Halafu Dr Mwaka naye!

Unaendaje kumpangia makazi nchi za ng'ambo mwanamke bado kijana mwenye sura ya mvuto, unategemea nani awe anamgonga?

Kulikuwa na faida gani kumsokomeza akaishi kisimbe ughaibuni?

Alishindwa kumtafutia maeneo ya karibu au kuendelea kulala nao wote kitanda kimoja kama alivyokuwa akifanya wanachekelea?

Tena kidogo awe role model wangu kwa kuona anafaidi sana maisha!

Wanawake wawili wa ndoa kitanda kimoja!

Raha sana kusema ukweli, sema kosa alilifanya kuwatawanyisha.

Ona sasa, kaanza kutumia kani kubwa kufosi penzi lililokwisha kusambaratika!

Ingelikuwa ndiye mimi, mbona jambo hilo ningelimaliza kabla hata halijajulikana!
 
Wanaume wengine wanajua nin maan ya watoto hata akiachana na mke wake lkn wengine mhhhh.
 
Kama Mwaka kataka mali zake Queen arudishe tu ama la na yeye angetafuta zake alivyokua kwenye ndoa. Haya mambo ya kufika ndoani unakaa tu unasukuma ndoto za mwenzako halafu usubiri kesho muachane udai kugawana mali. Queen angekua na maisha yake asingehangaika kuishi bila amani kisa nyumba. Kama suala ni watoto awarudishe kwa baba yao yeye akatafute maisha apate hela ajenge nyumba yake akae kwa amani.

Ila wanaume wakiachwa wanakuaga na hasira. Mwenzetu kavunja ndoa bila plan B na mwaka kajua pa kumkomeshea ni hapo kwenye mali zake.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Umesikiliza video yake ya jana?amesema kama kuna chochote mwaka anataka achukue yani mali yoyote ile ila amwachie watoto na amani ya moyo na ampe talaka yake
Sasa kama amekubali kuachia mali zote najiuliza kwanini mwaka bado hataki kutoa hiyo talaka?
Mimi nahisi huyu queen atakua kashapata mtu na mwaka anajua so anamkomesha ili asiolewe mana kuna wanaume wa hivyo yani mkiachana anataka uchakae,upauke inshort uteseke adi watu waseme bora ungebaki kwake!
 
Nimesikiliza mahojiano ya alokuwa mke wa Mwaka,kiukweli wanaume wa kitanzania waachane na habari za kuoa wake wengi hawawezi kabisa kuwamudu na kujimudu wao kiakili,mwanamke alikuwa mkeo kakuzalia watoto unataka wakaishi wapi ukiwanyang’anya nyumba,na nyumba ulimpatia hivi wanaume hamuwezi mpa kitu mwanamke kwa roho moja?

Mnataka ukimpa kitu muwe nae pamoja tu awe chini yako,kama hamuwezi muwe mnaacha kutoa maana ni wachoyo na mna roho ndogo na hamuwezi majukumu ya kulea mwanamke na watoto,wanaume wengi pia wapo kama Mwaka mkiachana anataka kukukomesha ujute kumfaham mtu akichoka mwache aende zake. Pia Jaribun kuwaheshim mama wa watoto wenu na kuwasitiri, vizazi vilivyopita viliwaharibu sana vijana wa kiume kwa kuwafundisha kuwa mwanamke hana thamani na kuwadidimiza wanawake.

Ukiangalia wanaume wengi huwa hawaheshimu wake zao ni wachache mno ila wengi wao wakatili,wenye roho mbaya wanaume wakiacha sawa ila wakiachwa wao kosa kubwa wanataka mwanamke aishi ndoa ambayo haifurahii ,mume anakaa mwaka mzima hagusi mke na umeoa wake wengi kisa kuonesha jamii we rijal hivi kwanin wanaume wengi wenye kasoro hujitutumua sana mbele ya jamii.MBADILIKE
unataka wakiachana huyo mwanamke amlete mwanaume mwingine wale ndoa kwenye nyumba ya mwaka
 
Umesikiliza video yake ya jana?amesema kama kuna chochote mwaka anataka achukue yani mali yoyote ile ila amwachie watoto na amani ya moyo na ampe talaka yake
Sasa kama amekubali kuachia mali zote najiuliza kwanini mwaka bado hataki kutoa hiyo talaka?
Mimi nahisi huyu queen atakua kashapata mtu na mwaka anajua so anamkomesha ili asiolewe mana kuna wanaume wa hivyo yani mkiachana anataka uchakae,upauke inshort uteseke adi watu waseme bora ungebaki kwake!
Sasa kama ana mtu na hataki mali yoyote wala matunzi ya watoto, si aishi tu na huyo mtu wake ili Mwaka ndio alalamike
 
Hakuna mwanaume asiemsikiliza mkewe kama mke atakua mtiifu chanzo cha wanaume kuonekana wa tofauti ni mwanamke mwenyewe.

Mpaka ukiona mwanaume amechukua jukumu la kuoa ujue ameshafanya utafiti kua unafaa.

Wanawake wengi hua wanajisahau sana wanapokua ktk ndoa kisa wanajiona wako huru lkn uhuru isifike hatua ya kumdharau mme wako kila siku mtakua mnaachwa.
 
Nimesikiliza mahojiano ya alokuwa mke wa Mwaka,kiukweli wanaume wa kitanzania waachane na habari za kuoa wake wengi hawawezi kabisa kuwamudu na kujimudu wao kiakili,mwanamke alikuwa mkeo kakuzalia watoto unataka wakaishi wapi ukiwanyang’anya nyumba,na nyumba ulimpatia hivi wanaume hamuwezi mpa kitu mwanamke kwa roho moja?

Mnataka ukimpa kitu muwe nae pamoja tu awe chini yako,kama hamuwezi muwe mnaacha kutoa maana ni wachoyo na mna roho ndogo na hamuwezi majukumu ya kulea mwanamke na watoto,wanaume wengi pia wapo kama Mwaka mkiachana anataka kukukomesha ujute kumfaham mtu akichoka mwache aende zake. Pia Jaribun kuwaheshim mama wa watoto wenu na kuwasitiri, vizazi vilivyopita viliwaharibu sana vijana wa kiume kwa kuwafundisha kuwa mwanamke hana thamani na kuwadidimiza wanawake.

Ukiangalia wanaume wengi huwa hawaheshimu wake zao ni wachache mno ila wengi wao wakatili,wenye roho mbaya wanaume wakiacha sawa ila wakiachwa wao kosa kubwa wanataka mwanamke aishi ndoa ambayo haifurahii ,mume anakaa mwaka mzima hagusi mke na umeoa wake wengi kisa kuonesha jamii we rijal hivi kwanin wanaume wengi wenye kasoro hujitutumua sana mbele ya jamii.MBADILIKE
Kwanini huyo mwanamke hakujenga nyumba yake? Yani nikupe nyumba kwa ajili ya papuchi?

Wakati kitaani Buku 50 unajilia papuchi tatu kimasihara

Hili nalo mkalitazame

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
mwanamke alikuwa mkeo kakuzalia watoto unataka wakaishi wapi ukiwanyang’anya nyumba,na nyumba ulimpatia hivi wanaume hamuwezi mpa kitu mwanamke kwa roho moja?
Iyo nyumba ilikua mali ya nani? Ukinyanyang'anywa nyumba basi wapeleke hao watoto wakaishi na baba yao wewe kajenge yako uendelee na maisha yako sio kusumbuana na ujinga wa child support
Mnataka ukimpa kitu muwe nae pamoja tu awe chini yako,kama hamuwezi muwe mnaacha kutoa maana ni wachoyo na mna roho ndogo na hamuwezi majukumu ya kulea mwanamke na watoto,wanaume wengi pia wapo kama Mwaka mkiachana anataka kukukomesha ujute kumfaham mtu akichoka mwache aende zake. Pia Jaribun kuwaheshim mama wa watoto wenu na kuwasitiri, vizazi vilivyopita viliwaharibu sana vijana wa kiume kwa kuwafundisha kuwa mwanamke hana thamani na kuwadidimiza wanawake.
Duniani hakuna cha bure ukipewa chochote kwenye mahusiano ujue unatakiwa kutoa utiifu na unyenyekevu in exchange hata ukifatilia mahusiano ya mwanamke mwenye pesa na mario hali ipo ivyo ivyo. Mkiachana rudisha kila kitu ulichopewa. Kama ni gari, nyumba, kiwanja rudisha kama umesomeshwa rudisha gharama zote zilizotumika kukusomesha. Simple like that.

By the way umesikiliza na upande wa uyo mwanaume husika au umetoa tu hitimisho kwa maelezo ya upande mmoja?
 
Kifungu cha 63 kinatamka kwamba mume ana wajibu wa kumtunza mkewe kwa kumpa mahitaji yote muhimu katika maisha kama mavazi, chakula na malazi kulingana na uwezo wake. Mke pia atakuwa na wajibu huo ikiwa tu mume kwa sababu ya ugonjwa hawezi tena kufanya kazi yoyote. Na kama mume hatekelezi wajibu huo kwa makusudi mahakama chini ya kifungu cha 115 yaweza kumwamuru kutekeleza wajibu huo.
Kataa ndoa ewe mwanaume afya yako ya akili ni muhimu kuliko ndoa
 
Nachukia tabia zenu za kuwakandamiza wanawake na kuwaona hawana thamani na hamna utu na pia tunayaona kwenye jamii wanawake wengi wanateswa mno kwenye ndoa,wachche mno walio na nafuu
Dawa ya yote haya kataeni ndoa ibaki kuchakata tu kwa malipo baada ya kazi
 
Mkuu labda kuna sababu za ziada zisizoongelewa jamani!

Kwani kushindwa kumlala mwanamke kwa mwaka mmoja na kukawa na mawasiliano ya udhuru, ndiyo inaweza kujenga chuki ya kuachana?

Kama shida ni hiyo, kwanini asingelikuwa anapanda ndege kwenda kuwajibika, akazembea mwaka kama jina lake!

Na baada ya kuonana na kuutimiza huo wajibu, chuki iliendelea?

Hapo nadhani kuna vijisababu vingine wanavificha, yaweza kuwa kuna limtu fisi maji linawavuruga kwa kurubuni.

Halafu Dr Mwaka naye!

Unaendaje kumpangia makazi nchi za ng'ambo mwanamke bado kijana mwenye sura ya mvuto, unategemea nani awe anamgonga?

Kulikuwa na faida gani kumsokomeza akaishi kisimbe ughaibuni?

Alishindwa kumtafutia maeneo ya karibu au kuendelea kulala nao wote kitanda kimoja kama alivyokuwa akifanya wanachekelea?

Tena kidogo awe role model wangu kwa kuona anafaidi sana maisha!

Wanawake wawili wa ndoa kitanda kimoja!

Raha sana kusema ukweli, sema kosa alilifanya kuwatawanyisha.

Ona sasa, kaanza kutumia kani kubwa kufosi penzi lililokwisha kusambaratika!

Ingelikuwa ndiye mimi, mbona jambo hilo ningelimaliza kabla hata halijajulikana!

Hilo hajasema huyo dada ila inasemekana kuwa ndoa ilikosa maelewano kitambo na huyu dada alikuwa akiwalea watoto wa mwaka wa mke mwingine ila nadhan kashindwa mambo mengi tu
Hivi unadhan kuna mtu hupenda kuachana na mmewe ukiona hivyo ujue kuna sababu zimeshindikana na wanasema chanzo ni mme
Kuoa kunahitaj busara na maamuzi ya busara na haki
 
Umesikiliza video yake ya jana?amesema kama kuna chochote mwaka anataka achukue yani mali yoyote ile ila amwachie watoto na amani ya moyo na ampe talaka yake
Sasa kama amekubali kuachia mali zote najiuliza kwanini mwaka bado hataki kutoa hiyo talaka?
Mimi nahisi huyu queen atakua kashapata mtu na mwaka anajua so anamkomesha ili asiolewe mana kuna wanaume wa hivyo yani mkiachana anataka uchakae,upauke inshort uteseke adi watu waseme bora ungebaki kwake!

Nami nahisi hivyo tu na wala dada hajataka kuongelea mengine ya ndani yeye asema amuache na amani Yaan mama wa watoto wako unamtumia majeneza na mtu wa kumpeleleza kila saa
 
Back
Top Bottom