Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,179
- 34,435
Nisipokusamehe wewe nimsamehe nani mimi jamani. Mrembo wangu mzima wewe?
mie mzima braza. habari za wikiendi?
Nisipokusamehe wewe nimsamehe nani mimi jamani. Mrembo wangu mzima wewe?
Nywele ndefu ,macho makubwa ya kurembua ,matiti mwiba au mchongoko hips makalio makubwa yenye nyama teketeke mguu chupa ya bia
Wanaume wengi wamwonapo mrembo wa namna hii huchanganyikiwa kabisaa
Nimekutafutaje mrembo wangu, JF ilituzingua kwa takribani siku mbili bhana. Wikiend ilikuwa safi sana.mie mzima braza. habari za wikiendi?
huyu dada anatembeaje?
Huwa wanatembeaga kama wanataka kuchuchumaa vile....mzigo mzito huko nyuma.
NYUMBAA bila ya choo haijaitwa nyumba!!!
na ile kissing ya muda mrefu??unatoa mate mdomoni
Kama hiki...
na ile kissing ya muda mrefu??
inaitwa mdendeko
mmhh hapana hili jina ndo kwanza nalisikia leo.ile inaitwa denda watoto wa kuhuni wanakwambia napiga/nimetoka kupiga lita