grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Huwa wanajifanya wanasagura sagura zile nguo za kuitiwa na maspika bila kununua.MWENGE STENDI nikama shoroom vile kunawanawake ikifika jioni tuu wao huja mitaa hii nakujitembeza tuuuu pasipo sababu