Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,307
- 3,416
ndo nakupa jina mpya rafiki hutaki?
ndo unalianzisha au lishawahi kuexist uko ulipo??
ndo nakupa jina mpya rafiki hutaki?
Kama hiki...
ndo unalianzisha au lishawahi kuexist uko ulipo??
ndioyo nalianzisha mdendeko... ukitaka kumkiss demu wako mpaka mgusishane ulimi unamwambia twende tukadendeke
sasa je si umeona neno tukadendeke umelinyambua kutoka kwenye neno denda hiyo ni kauli ya kutendana.nashukurutumefikia hittimisho,nimelichukua
hapo sawa basi rafiki twende tukadendeke
Hahahaaaa JF raha jamano..!
Nimekutafutaje mrembo wangu, JF ilituzingua kwa takribani siku mbili bhana. Wikiend ilikuwa safi sana.
Hiyo avatar yako mpya nimeipenda sana, kumbe wewe ni fundi makenika hongera!
raha jipe mwenyewe...
Ukisubiri kupewa utadaiwa!!
Chuma changu bado kipya, ngoja kichakae nitakiletahahahahaha. Pole kwa kuwa offline. Kwa kweli ilikuwa mateso.
Asante, leta chuma chako tukipe service.
Chuma changu bado kipya, ngoja kichakae nitakileta
Usisemee wengine banaa!!!
Nisipoona coment yako nakosa rahaaa!