Hata wewe naona umechomekwa chomekwa Sana. Pima Afya na ulinde uhai wako utanasa na HIVWanaume ma HB hamjatulia hata kidogo yaani na sasa hivi ndio mmejaa sana
Mnaringa then mnataka kila mtu mulale nae pu
Bora nitafute mwenye sura personal sura ngumu hanogi kwa chumvi wala sukari
Ninyi nimewaachia watoto