Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,026
Ngoja wafupi waje na povu hahahahahahhahah
Naona unaugomvi na jiwe wwbabu yangu aliwahi kuniusia kwamba ukikutana na mtu mfupi lazima ujue kuna matatizo tu
Naam siku ya kwanza kuingia ofisini,bosi ni andunje,hiyo ofisi ilikua ya moto kwa kila mtu
Umemtaja Magu kiaina! Ngoja akutimue kazi!babu yangu aliwahi kuniusia kwamba ukikutana na mtu mfupi lazima ujue kuna matatizo tu
Naam siku ya kwanza kuingia ofisini,bosi ni andunje,hiyo ofisi ilikua ya moto kwa kila mtu
Sijui kwanini,.kama ndugai😎
poor evidenceNonsense
mimi ni mfupi na sio mkorofiNimecheka Sana, watu wafupi Wana matatizo Sana z vikorofi korofi Sana
Wafupi Kama nyie wachache sanamimi ni mfupi na sio mkorofi
what about your mom and your uncles?My dad is 5.4” I’m 5.6” my husband is 6.2” but all the children are 5.8”
My mom used to be 5.8” before the aging process but my dad’s genes have denominatedwhat about your mom and your uncles?