Wanaume warefu tuko kwenye 'extinction' hatari ya kutoweka kabisa Duniani

kuna hybrids kwenye wanyama kama n'gombe, kmoto, kondoo nk

Pia hybrids kwenye ndege hasa kuku; bado nasubiri Hybrids kwenye binadamu ili kupata binadamu miaka 12 tu ana midevu kibao...urefu futi 9 na ushee
 
Naposema wanaume warefu nazungumzia mtu mwenye urefu au kimo cha kuanzia futi 6 na kuendelea.

Historia inaonyesha miaka ya nyuma watu walikua wenye miili mikubwa na maumbo makubwa, sio wanawake wala wanaume. Miaka inazidi kwenda na kizazi cha watu wenye maumbile au miili mikubwa kinazidi kutoweka, kimekuja kizazi ambacho kiko contaminated and diluted, watu wana miili midogo na wafupi ajabu. Leo watu warefu ni wa kuhesabu. Ukiwa futi 5.8 unaitwa tall, unajiuliza tall?

Mimi naomba kusema, katika vitu vinavyotoweka Duniani kwa kasi, ukiachia wanyama kama tembo au twiga au kifaru, wanaume warefu au watu warefu kuto kwenye hatari ya kutoweka kabisa Duniani. Miaka 100 ijayo hizi mbegu hazitakuwepo kabisa. Dunia iyakua imejaa andunje kama kina Pierre Liquid, itakuja kua historia kua kulikua na watu wana kimo cha futi 6 au 7 huku majority wakiwa na futi 4 hadi 5.

Ni wakati muafaka sasa tuhalikishe tunahifadhi hizi mbegu kubwa maana hakuna namna mtu utakua mrefu, kua mrefu ni natural gift, sio hela kua utatafta na kuzipata.

Miaka flani kikiwa mdogo, kuna mzee mmoja kijijini kwetu alikua anamwambia bro wangu ambae sasa ni marehemu (6.7ft) kua akiwashika ugoni bro wangu na mke wake, atawasamehe maana anajua hata kama mtoto atakaezaliwa hatakua wake angalau atakua na umbile kama lake, hivyo hata watu hawatahoji sana maana watasema ana mwili wa baba yake ila akimkuta mwanaume mfupi na mkewe atawaua wote maana watacontaminate mbegu yake. Hata mimi sasa naungana na yule mzee, ili kuhifadhi mbegu yangu, nikimkuta mke wangu na mchepuko mfupi namuacha, akiwa mrefu naweza kumfikiria kumsamehe.

Kwa niaba ya watu warefu wote, naomba serikali ianzishe jitihada za maksudi kuhifadhi hizi mbegu zetu, tutapotea itakuja kua hadithi huko mbele. Iaka 100 ijayo Dunia itakua ya ajabu sana, itakua na watu majority nika Pierre, mtu analingana na vits urefu.

Naomba ieleweke wazi kua haya ni maoni yangu binafsi na sina nia ya kukashfu umbile au kimo cha mtu.
View attachment 1056853
Duuh
 
Mara nyingi watu warefu huwa hawana akili na akiwa mnene lazima awe mzembe kupitiliza...
Ukienda mfano vyuo vikuu 90% ya maprofesa ni wafupi iwe wakiume au wakike
Pia Mabosi hivyo hivyo wengi wafupi ...mpaka kwenye magarage za magari

Kwa hivyo unaposema warefu wameisha sio kweli inategemea upo katika mazingira gani warefu wengi sio wapambanaji
 
Naposema wanaume warefu nazungumzia mtu mwenye urefu au kimo cha kuanzia futi 6 na kuendelea.

Historia inaonyesha miaka ya nyuma watu walikua wenye miili mikubwa na maumbo makubwa, sio wanawake wala wanaume. Miaka inazidi kwenda na kizazi cha watu wenye maumbile au miili mikubwa kinazidi kutoweka, kimekuja kizazi ambacho kiko contaminated and diluted, watu wana miili midogo na wafupi ajabu. Leo watu warefu ni wa kuhesabu. Ukiwa futi 5.8 unaitwa tall, unajiuliza tall?

Mimi naomba kusema, katika vitu vinavyotoweka Duniani kwa kasi, ukiachia wanyama kama tembo au twiga au kifaru, wanaume warefu au watu warefu kuto kwenye hatari ya kutoweka kabisa Duniani. Miaka 100 ijayo hizi mbegu hazitakuwepo kabisa. Dunia iyakua imejaa andunje kama kina Pierre Liquid, itakuja kua historia kua kulikua na watu wana kimo cha futi 6 au 7 huku majority wakiwa na futi 4 hadi 5.

Ni wakati muafaka sasa tuhalikishe tunahifadhi hizi mbegu kubwa maana hakuna namna mtu utakua mrefu, kua mrefu ni natural gift, sio hela kua utatafta na kuzipata.

Miaka flani kikiwa mdogo, kuna mzee mmoja kijijini kwetu alikua anamwambia bro wangu ambae sasa ni marehemu (6.7ft) kua akiwashika ugoni bro wangu na mke wake, atawasamehe maana anajua hata kama mtoto atakaezaliwa hatakua wake angalau atakua na umbile kama lake, hivyo hata watu hawatahoji sana maana watasema ana mwili wa baba yake ila akimkuta mwanaume mfupi na mkewe atawaua wote maana watacontaminate mbegu yake. Hata mimi sasa naungana na yule mzee, ili kuhifadhi mbegu yangu, nikimkuta mke wangu na mchepuko mfupi namuacha, akiwa mrefu naweza kumfikiria kumsamehe.

Kwa niaba ya watu warefu wote, naomba serikali ianzishe jitihada za maksudi kuhifadhi hizi mbegu zetu, tutapotea itakuja kua hadithi huko mbele. Iaka 100 ijayo Dunia itakua ya ajabu sana, itakua na watu majority nika Pierre, mtu analingana na vits urefu.

Naomba ieleweke wazi kua haya ni maoni yangu binafsi na sina nia ya kukashfu umbile au kimo cha mtu.
View attachment 1056853
umeongea point,ila wenye akili ndogo hawatakuelewa
 
Back
Top Bottom