Wanaume warefu tuko kwenye 'extinction' hatari ya kutoweka kabisa Duniani

Wanaume warefu tuko kwenye 'extinction' hatari ya kutoweka kabisa Duniani

Nawaona watu weusi kabisa wale tii wakitoweka kwa kasi sana. Zaman walikua wengi lakn siku hizi ukikutana na mtu huyo unasimulia na mapicha kibao
 
Kwa Tanzania watu warefu wengi wapo Mwanza.....Mara...wafupi mbilikimo wapo Morogoro na Iringa kwa wingi
 
Huwenda watu warefu wanauwezo mdogo wa kuzalisha ikilinganishwa na watu wafupi, na kama hakutakuwa na sababu nyingine basi kizazi cha watu warefu kitapotea kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sitaki kuamn kama pande la jitu kama mimi ni dili hpa mjn
 
Back
Top Bottom