Hao ndio wale nasema nikumkuta na mke wangu namfi.ra kwanza kisha nawaacha wote.Juzi tu nimeweka uzi hapa kuwa watanzania wengi wafupi mno.
Walikuja wahusika na mapovu na kashfa juu. Mwingine hanijui simjui lakini anasema eti wewe na urefu wako umenizidi nini? Hata kimafanikio hunipati[emoji23][emoji23] nilibaki kumshangaa tu.
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
ID yang inauhusiano gani na hii comment niliyo post hapa? Mimi nimejiridhisha baada ya kufanya uchunguzi wa raia wa nchi mbali mbali including EAC kama vile Uganda, Kenya na hata Rwanda raia wao ni warefu much better than Tanzanians japo na mimi ni mtanzania. Sio wote ila majority ni wafupi, japo hauwez kuuona ufupi huo ukiwa hapo hapo Tz. Nyimbo ya R.Kelly mwaka 2010, akiwa amewashirikisha waafrika mbali mbali haikuwa kazi ngumu kumjua mtz ni nani hata kam wasingevaa bendera za nchi zao au kuimba kwa lugha zao kama vile kiswahili lingala nk. Fanya uchunguz ndugu. Narudia tena sio wote ila majorityMkuu uwe unakumbuka ID unayo post nayo thread
Hapo hapo ulipo simamaWanaume wafupi msicomment apa[emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na walivyo na gubu[emoji23]yeuwwi
Tena wapite mbali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Wanaume wafupi msicomment apa[emoji23][emoji23]
Daa wewe embu acha hizo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]babu yangu aliwahi kuniusia kwamba ukikutana na mtu mfupi lazima ujue kuna matatizo tu
Naam siku ya kwanza kuingia ofisini,bosi ni andunje,hiyo ofisi ilikua ya moto kwa kila mtu
[emoji23][emoji23]Tena wapite mbali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kwenye huu uzi
I can feel your pain bro!Ukiona mwanaume unakosa vya kujivunia unajivunia ulivyozaliwa ukajikuta navyo ujue kuna shida mahali! Wanaume wenye akili wanajisifu kwa vitu vilivyopatikana kwa juhudi zao na sio walivyozaliwa navyo!
Mi nadhani ungepiga kelele kizazi cha watu ma genous kutoweka ungeeleweka maana hao ndio chachu ya maendeleo na mabadiliko na sio maumbo ya mwili.
Shubaaaamit!
Sent using Jamii Forums mobile app