Wanaume warefu tuko kwenye 'extinction' hatari ya kutoweka kabisa Duniani

Naposema wanaume warefu nazungumzia mtu mwenye urefu au kimo cha kuanzia futi 6 na kuendelea.

Historia inaonyesha miaka ya nyuma watu walikua wenye miili mikubwa na maumbo makubwa, sio wanawake wala wanaume. Miaka inazidi kwenda na kizazi cha watu wenye maumbile au miili mikubwa kinazidi kutoweka, kimekuja kizazi ambacho kiko contaminated and diluted, watu wana miili midogo na wafupi ajabu. Leo watu warefu ni wa kuhesabu. Ukiwa futi 5.8 unaitwa tall, unajiuliza tall?

Mimi naomba kusema, katika vitu vinavyotoweka Duniani kwa kasi, ukiachia wanyama kama tembo au twiga au kifaru, wanaume warefu au watu warefu kuto kwenye hatari ya kutoweka kabisa Duniani. Miaka 100 ijayo hizi mbegu hazitakuwepo kabisa. Dunia iyakua imejaa andunje kama kina Pierre Liquid, itakuja kua historia kua kulikua na watu wana kimo cha futi 6 au 7 huku majority wakiwa na futi 4 hadi 5.

Ni wakati muafaka sasa tuhalikishe tunahifadhi hizi mbegu kubwa maana hakuna namna mtu utakua mrefu, kua mrefu ni natural gift, sio hela kua utatafta na kuzipata.

Miaka flani kikiwa mdogo, kuna mzee mmoja kijijini kwetu alikua anamwambia bro wangu ambae sasa ni marehemu (6.7ft) kua akiwashika ugoni bro wangu na mke wake, atawasamehe maana anajua hata kama mtoto atakaezaliwa hatakua wake angalau atakua na umbile kama lake, hivyo hata watu hawatahoji sana maana watasema ana mwili wa baba yake ila akimkuta mwanaume mfupi na mkewe atawaua wote maana watacontaminate mbegu yake. Hata mimi sasa naungana na yule mzee, ili kuhifadhi mbegu yangu, nikimkuta mke wangu na mchepuko mfupi namuacha, akiwa mrefu naweza kumfikiria kumsamehe.

Kwa niaba ya watu warefu wote, naomba serikali ianzishe jitihada za maksudi kuhifadhi hizi mbegu zetu, tutapotea itakuja kua hadithi huko mbele. Iaka 100 ijayo Dunia itakua ya ajabu sana, itakua na watu majority nika Pierre, mtu analingana na vits urefu.

Naomba ieleweke wazi kua haya ni maoni yangu binafsi na sina nia ya kukashfu umbile au kimo cha mtu.
View attachment 1056853
Kwenye hii picha katikati ni wewe Mkuu?
 
Zama zimebadilika sana zamani watu warefu walikuwa wanatumika ktk majeshi wakiaminika wako strong na powerfull but now technologia imekuwa sana urefu unaoangaliwa ni wa mpini tu wa mwili sikuhizi hauna kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naposema wanaume warefu nazungumzia mtu mwenye urefu au kimo cha kuanzia futi 6 na kuendelea.

Historia inaonyesha miaka ya nyuma watu walikua wenye miili mikubwa na maumbo makubwa, sio wanawake wala wanaume. Miaka inazidi kwenda na kizazi cha watu wenye maumbile au miili mikubwa kinazidi kutoweka, kimekuja kizazi ambacho kiko contaminated and diluted, watu wana miili midogo na wafupi ajabu. Leo watu warefu ni wa kuhesabu. Ukiwa futi 5.8 unaitwa tall, unajiuliza tall?

Mimi naomba kusema, katika vitu vinavyotoweka Duniani kwa kasi, ukiachia wanyama kama tembo au twiga au kifaru, wanaume warefu au watu warefu kuto kwenye hatari ya kutoweka kabisa Duniani. Miaka 100 ijayo hizi mbegu hazitakuwepo kabisa. Dunia iyakua imejaa andunje kama kina Pierre Liquid, itakuja kua historia kua kulikua na watu wana kimo cha futi 6 au 7 huku majority wakiwa na futi 4 hadi 5.

Ni wakati muafaka sasa tuhalikishe tunahifadhi hizi mbegu kubwa maana hakuna namna mtu utakua mrefu, kua mrefu ni natural gift, sio hela kua utatafta na kuzipata.

Miaka flani kikiwa mdogo, kuna mzee mmoja kijijini kwetu alikua anamwambia bro wangu ambae sasa ni marehemu (6.7ft) kua akiwashika ugoni bro wangu na mke wake, atawasamehe maana anajua hata kama mtoto atakaezaliwa hatakua wake angalau atakua na umbile kama lake, hivyo hata watu hawatahoji sana maana watasema ana mwili wa baba yake ila akimkuta mwanaume mfupi na mkewe atawaua wote maana watacontaminate mbegu yake. Hata mimi sasa naungana na yule mzee, ili kuhifadhi mbegu yangu, nikimkuta mke wangu na mchepuko mfupi namuacha, akiwa mrefu naweza kumfikiria kumsamehe.

Kwa niaba ya watu warefu wote, naomba serikali ianzishe jitihada za maksudi kuhifadhi hizi mbegu zetu, tutapotea itakuja kua hadithi huko mbele. Iaka 100 ijayo Dunia itakua ya ajabu sana, itakua na watu majority nika Pierre, mtu analingana na vits urefu.

Naomba ieleweke wazi kua haya ni maoni yangu binafsi na sina nia ya kukashfu umbile au kimo cha mtu.
View attachment 1056853
Ukiona mwanaume unakosa vya kujivunia unajivunia ulivyozaliwa ukajikuta navyo ujue kuna shida mahali! Wanaume wenye akili wanajisifu kwa vitu vilivyopatikana kwa juhudi zao na sio walivyozaliwa navyo!

Mi nadhani ungepiga kelele kizazi cha watu ma genous kutoweka ungeeleweka maana hao ndio chachu ya maendeleo na mabadiliko na sio maumbo ya mwili.

Shubaaaamit!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali unayoishauri ni ya wapi?
Maana umeandika tu kiswahili lakini unaweza kuwa wa nchi nyingine kabisa
Kama ni africa usijali maana hatuwezi hata kuhifadhi panzi
Halafu sijui umewaza nini

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Historia inaonyesha miaka ya nyuma watu walikua wenye miili mikubwa na maumbo makubwa, sio wanawake wala wanaume. Miaka inazidi kwenda na kizazi cha watu wenye maumbile au miili mikubwa kinazidi kutoweka, kimekuja kizazi ambacho kiko contaminated and diluted, watu wana miili midogo na wafupi ajabu. Leo watu warefu ni wa kuhesabu. Ukiwa futi 5.8 unaitwa tall, unajiuliza tall?

On average worldwide urefu wa mwanadamu unaongezeka!

Human beings today are stronger than their cave counterparts!

Human beings today have very high life expectancy than ever before!

Hapa ni kwa jamii zote duniani,zime-improve!

Thanks to superior medical scientific advancements,health eating,interbreeding,advancement is physiotherapy sciences,etc

Sasa,nadhani wewe umevamiwa na zile imani za story za zamani za kufikirika ya zile jamii za kufikirika (myths) za ma-giants au goliaths....

Which infacts hawakuwepo kama unavyodhani,ni myths!

Kama unachosema ni sahihi,leo hii tungeona mifupa za hawa giant ancestors all across the world,ila mifupa tunayopata mpaka sasa hivi ni normal human beings tu with normal heights!

Mifupa ya viumbe vingine giants kama dissonours ipo,ila ya binadamu hao giants kwanini hakuna kama unavyotaka kutuaminisha walikuwepo wengi?

Kulikua na exceptions za giants hapa na pale,kama walivyo leo!

Leo kuna watu wawili watatu wenye height above 8feet!

Jamii (Ethnicity) yenye overal highest height average on earth ni South Sudan Dinka people.

The lowest height of Dinka male is 6feet,average normal height is 6'7'feet!

Ki-nchi,the tallest are Dutch from Netherlands!
 
Hili linawahusu wa mama. Hii habari ya kuosha K na Coca cola kutufuta virginity mnatupatia kazi narusha mbegu ft 6 inch 5 inakutana na unyevu wa mirinda. Wachemia mkuje ili mtuambie mambo ya titration

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hiyo sisi wachache tulio warefu imekuwa ni bahati sana na ndo tunatoweka kama dinosaur
 
Juzi tu nimeweka uzi hapa kuwa watanzania wengi wafupi mno.

Walikuja wahusika na mapovu na kashfa juu. Mwingine hanijui simjui lakini anasema eti wewe na urefu wako umenizidi nini? Hata kimafanikio hunipati[emoji23][emoji23] nilibaki kumshangaa tu.
Naposema wanaume warefu nazungumzia mtu mwenye urefu au kimo cha kuanzia futi 6 na kuendelea.

Historia inaonyesha miaka ya nyuma watu walikua wenye miili mikubwa na maumbo makubwa, sio wanawake wala wanaume. Miaka inazidi kwenda na kizazi cha watu wenye maumbile au miili mikubwa kinazidi kutoweka, kimekuja kizazi ambacho kiko contaminated and diluted, watu wana miili midogo na wafupi ajabu. Leo watu warefu ni wa kuhesabu. Ukiwa futi 5.8 unaitwa tall, unajiuliza tall?

Mimi naomba kusema, katika vitu vinavyotoweka Duniani kwa kasi, ukiachia wanyama kama tembo au twiga au kifaru, wanaume warefu au watu warefu kuto kwenye hatari ya kutoweka kabisa Duniani. Miaka 100 ijayo hizi mbegu hazitakuwepo kabisa. Dunia iyakua imejaa andunje kama kina Pierre Liquid, itakuja kua historia kua kulikua na watu wana kimo cha futi 6 au 7 huku majority wakiwa na futi 4 hadi 5.

Ni wakati muafaka sasa tuhalikishe tunahifadhi hizi mbegu kubwa maana hakuna namna mtu utakua mrefu, kua mrefu ni natural gift, sio hela kua utatafta na kuzipata.

Miaka flani kikiwa mdogo, kuna mzee mmoja kijijini kwetu alikua anamwambia bro wangu ambae sasa ni marehemu (6.7ft) kua akiwashika ugoni bro wangu na mke wake, atawasamehe maana anajua hata kama mtoto atakaezaliwa hatakua wake angalau atakua na umbile kama lake, hivyo hata watu hawatahoji sana maana watasema ana mwili wa baba yake ila akimkuta mwanaume mfupi na mkewe atawaua wote maana watacontaminate mbegu yake. Hata mimi sasa naungana na yule mzee, ili kuhifadhi mbegu yangu, nikimkuta mke wangu na mchepuko mfupi namuacha, akiwa mrefu naweza kumfikiria kumsamehe.

Kwa niaba ya watu warefu wote, naomba serikali ianzishe jitihada za maksudi kuhifadhi hizi mbegu zetu, tutapotea itakuja kua hadithi huko mbele. Iaka 100 ijayo Dunia itakua ya ajabu sana, itakua na watu majority nika Pierre, mtu analingana na vits urefu.

Naomba ieleweke wazi kua haya ni maoni yangu binafsi na sina nia ya kukashfu umbile au kimo cha mtu.
View attachment 1056853

[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
 
Back
Top Bottom