hatuna wadada wanaotoa huduma za kusafisha kwapa na meno kama ninyi mnavyosafishwa na machinga. Hatuna kwapa za kichina kama nyewele zenu, hatuweki meno bandia kma mfanyavyo ktk kucha, kope na nywele. In short we are nt fake
baelezee
hatuna wadada wanaotoa huduma za kusafisha kwapa na meno kama ninyi mnavyosafishwa na machinga. Hatuna kwapa za kichina kama nyewele zenu, hatuweki meno bandia kma mfanyavyo ktk kucha, kope na nywele. In short we are nt fake
Teh teh teh....kuna uzi uliletwa hapa unasema "mapinduzi makubwa jf" I think moja ya mapinduzi hayo ni hii maana ilikua tunawasema sana wanawake ila sasa zamu yetu....go ahead harufu mbaya na kingine nini?
Baba paroko hivi wewe haya ya K umeyajuaje haya:shocked::shocked::shocked::shocked:
Hujui kuwa huwa nasuluhisha ndoa za wanakondoo wangu na huwa wananiambia matatizo yao
Lakini inamaana kwingine hujaona umeona hapo kwenye K tu??
Una matatizo wewe!!
inawezekana wewe ndio una shida hii...JIPENDE KAKA! KWA TAARIFA YAKO MUME WANGU HANA SHIDA KABISA NDIO MAANA NIKAMKUBALI TANGU MWANZO,,,,,,,,sasa we endelea na MAUBISHI YAKO uone utakavyohangaika.....pole sana!
Kumbe hamjui kwamba harufu ya kwapa la mwanaume huwavutia wanawake....!
habarini za leo ndg zangu...
jamani leo ninakuja na mada hii kwa wanaume mnaokuwa na harufu KALI, MBAYA za midomo na vikwapa. Mtapata shida sana kukubalika kwa wadada. Hata kwenye madaladala humu utakuta mtu akitoa pumzi tu ni harufu mbaya...sasa ombea uwe umesimama naye kaegesha kwapa lake, ni aibu!!jamani kaka zetu, JIPENDENI...tatizo ni nini?
Hapa kama kuna ushabiki vile!!!
...
Inakupasa utambue kuwa, Binadamu yoyote anaefanya kazi ngumu ni lazima anuke kikwapa hadi pale atakapooga!
...
Usidhani me wote wanafanya kazi ofisini na kuzunguka na viti!
Kumkuta me ananuka kikwapa akiwa ndani ya daladala huwezi kuconclude kuwa huyo ni mchafu!
Wengine ni time yao ya kurudi mihangaikoni ili wawaridhishe ninyi ke!
...
Labda ningekubaliana na wewe if ungemkuta huyo me ananuka kikwapa ktk enjoyment places!
...
Vile vile utambue sometimes kunuka kikwapa ni maradhi yasiochagua me wala ke!
...
Acha kukremu na kuleta ushabiki bhana!
Hatuna wadada wanaotoa huduma za kusafisha kwapa na meno kama ninyi mnavyosafishwa na machinga. Hatuna kwapa za kichina kama nyewele zenu, hatuweki meno bandia kma mfanyavyo ktk kucha, kope na nywele. In short we are nt fake
wana kondoo nao hawajambo.....ngoja na mie nije weekend hii nikueleze swala langu
Nimevutiwa na hapo tu....macho yangu yatakuwa na shida nini