wanaume wanaume wanaume...jiangalieni jamani

Ushauri wa bure tumie malimao au ndimu na sukari suguaa hilo kwapa,harufu na kwapa jeusi utalisikia tu kwa majiranii saawa kaka zetu wapendwa??
 
wangu ni msafi sana hapa naongelea kero tunazokutana nazo huku mitaani utakuta mtu anathema harufu halafu bila aibu eti anakutongoza...si majanga haya jamani! mkubali tu ukweli kuwa USAFI ni muhimu ndg zangu....
 
habarini za leo ndg zangu...

jamani leo ninakuja na mada hii kwa wanaume mnaokuwa na harufu KALI, MBAYA za midomo na vikwapa. Mtapata shida sana kukubalika kwa wadada. Hata kwenye madaladala humu utakuta mtu akitoa pumzi tu ni harufu mbaya...sasa ombea uwe umesimama naye kaegesha kwapa lake, ni aibu!!jamani kaka zetu, JIPENDENI...tatizo ni nini?
Hii ni kweli kabisa na nakuunga mkono kwa wote wenye jinsia hii adhimu kuwa na uchafu wa kiasi hiki
Nasema wakome kabisa na wanatuaibisha

Lakini nakukumbusheni na nyie muwe na bidii ya kuzifanyia usafi K zenu maana unakwenda kula raha na mwanamke akivua tu harufu hadi Mbu wanakufa...lol!!!!!!!
 
bora wewe kaka yangu unalielewa suala hili maana kuna wengine wanatoka povu humu km nini...sijui inawahuu?
Hii ni kweli kabisa na nakuunga mkono kwa wote wenye jinsia hii adhimu kuwa na uchafu wa kiasi hiki
Nasema wakome kabisa na wanatuaibisha

Lakini nakukumbusheni na nyie muwe na bidii ya kuzifanyia usafi K zenu maana unakwenda kula raha na mwanamke akivua tu harufu hadi Mbu wanakufa...lol!!!!!!!
 
Wanamme wachache wanajali wanvyonukia, wengi akioga na kwanga tu kamaliza.
Baadhi hubadilika wanapopata 'house assistant', kuna baadhi wanafurahia vikwapa vyao na hawataki kufundishika.

Ila, inakera kwa kweli

Wengne wanaogea Mbuni tu
 
kibeberu muhmu kwa mwanaume. Chieee! Hujui wenzio wanafurahia? Hahaha. Ila bandugu haka kaharufu mmmh! Sio ishu.
 
ni kweli ndg yangu kale kaharufu SIO kabisa....wachache tu ndio wabishi humu...nashawishika kuamini kuwa hao ndio wana kaharufu..aahh! sio kaharufu, bali ni JIHARUFU!!!!
kibeberu muhmu kwa mwanaume. Chieee! Hujui wenzio wanafurahia? Hahaha. Ila bandugu haka kaharufu mmmh! Sio ishu.
 
Hii ni kweli kabisa na nakuunga mkono kwa wote wenye jinsia hii adhimu kuwa na uchafu wa kiasi hiki
Nasema wakome kabisa na wanatuaibisha

Lakini nakukumbusheni na nyie muwe na bidii ya kuzifanyia usafi K zenu maana unakwenda kula raha na mwanamke akivua tu harufu hadi Mbu wanakufa...lol!!!!!!!

Baba paroko hivi wewe haya ya K umeyajuaje haya:shocked::shocked::shocked::shocked:
 
Hatuna wadada wanaotoa huduma za kusafisha kwapa na meno kama ninyi mnavyosafishwa na machinga. Hatuna kwapa za kichina kama nyewele zenu, hatuweki meno bandia kma mfanyavyo ktk kucha, kope na nywele. In short we are nt fake
 
yaan hapo umesema kwel utakuta mwanaume ananuka jasho kama beberu..mwambie sasa uone ugomvi wake...mh..BADILIKENI JAMANI.
 
Kwapa maalumu la mwanamme ni waleti yake
Hilo likitema harufu ya BOT, mabinti wanamiminika kama mvua

tena wananyonya mpaka dushelele kisa eti anakukoleza kisawasawa WIZI MTUPU
Leo hii mwalalamika eti kikwapa kinawakera wakati mnazama mpaka kwenye penalt
 
Hii ni kweli kabisa na nakuunga mkono kwa wote wenye jinsia hii adhimu kuwa na uchafu wa kiasi hiki
Nasema wakome kabisa na wanatuaibisha

Lakini nakukumbusheni na nyie muwe na bidii ya kuzifanyia usafi K zenu maana unakwenda kula raha na mwanamke akivua tu harufu hadi Mbu wanakufa...lol!!!!!!![/QUOTE]

HATARIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom