wanaume wanaume wanaume...jiangalieni jamani

kuna mdau mmoja ameleta uzi na kusema kwamba kwa wanawake, kuna kiwango fulani hivi cha urine (kidogo sana lakini) huwa kinatoka na kuchafua pants.!

sasa kwa boys huku ndio balaa! mijasho yoote ila ya kwenye mazoezi ya mipira pamoja na uchafu unaotolewa na dushelele, bado boxer inakaa wiki mbili haijafuliwa!

what do you expect?

Uvundo square!!!
 
habarini za leo ndg zangu...

jamani leo ninakuja na mada hii kwa wanaume mnaokuwa na harufu KALI, MBAYA za midomo na vikwapa. Mtapata shida sana kukubalika kwa wadada. Hata kwenye madaladala humu utakuta mtu akitoa pumzi tu ni harufu mbaya...sasa ombea uwe umesimama naye kaegesha kwapa lake, ni aibu!!jamani kaka zetu, JIPENDENI...tatizo ni nini?

Ndio maana ulipewa macho ya kuona, pua ya kunusa na ulimi wa kulamba dada... ili uweze kuchagua.
 
Ndo maana Mungu alimuumba msaidizi ambaye ni mwanamke je umewahi kuona mume wa mtu ananuka hicho kikwapa au mdomo? kama yupo ujue ameoa galasa, kiasili mwanaume hajijali anachojali kama amehudumia familia yake kama inavyotakiwa jiulize swali dogo tu ni kwanini wanaume ndani ya familia wana nguo chache si kama mwanamke? wengine hata tusipoletewa mafuta huwa hatukumbuki kama kuna kujipaka mafuta mara pafyumu aaah!................................
 
Usifikiri wote ndio wachafu huyo wa kwako ndio usifikiri wote ndivyo walivyo kama huna la kusema hata kutulia njia tosha

Mnakuwa wakaliiii!!!!! Mkiambiwa ukweli. Hata kama siyo wewe lakini kuna wakaka wachafu sana yaani kuoga kwao ni nadra sana. Lenu hilo tena mshukuru aliyeleta hii mada huenda itasaidia kufikisha ujumbe japo kwa wachache wa humu JF.
 
Passion Lady!.... Yani nimekumiss mpaka naona kama vile bado hakujakucha!

Za siku myingi mpenz?
 
Last edited by a moderator:
wengine achene ukali bwana mkiambiwa ukweli...nyie akina nani hadi msiambiwe ukweli? hamuoni kuwa tunasaidiana kuwekana sawa?
 
Wanaume wamezidi uchafu!!! Jipendeni bwana mnakera hiyo midomo, kwapa, boxer na soksi utadhani panya kafia humo!
 
Hahahaaa.... Ukimwambia abadili boxer anasema "Mbona hii nimeivaa juzi tu hata week haijamaliza" Lol.....

Afu ikimaliza week badala ya kuifua anaianika yaaalah... Nisikilizie uvundo wake ye mwenyewe wala hana habari!!!

Mbadilike khaaaa!!!!!

pole sana,nakupongeza kwa uvumilivu.....how can u date and cope with such a guy?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom