Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,179
- 34,434
Uongo ambao unaweza kujikuta una report abuse bureeee.lolSijawahi danganywa in public namna hii!
Ooohh!
Uongo ambao unaweza kujikuta una report abuse bureeee.lolSijawahi danganywa in public namna hii!
Ooohh!
Mimi ni kijana wa kiume, jambo ulilolisema lina ukweli mwingi sana!
Atakayepinga atakuwa anatetea ujinga!
The truth is,
vijana wengi (wanaonuka mostly ni vijana!) ni wazembe sana kujifanyia usafi! Anavyolala usiku ndivyo anavyoamka asubuhi!
Kitendo hasa cha kuoga asubuhi na kuvaa nguo nadhifu, wanadai eti ni usharo!
Mi binafsi, kuna wakati natembea kulingana na direction ya upepo!
Harufu ya kwapa si mchezo!
Ee bwana kuna wanaume watamu nyieeeeee. They smell so good, look so good. Eh! Yummy. Na si ------- hataa.
Sasa ukute jitu hata halijipendi halafu linakukonyeza. ----.
Hivi nyie wanaume deodorants ni sh ngapi?
lalama tu, wake wengine wanafurahia....ndio nalalama.
Mkuu BR dawa ya kunuka sio deodorant, dawa ya kunuka ni usafi wa kina wa mwili wako, hata baada ya hapo ukipiga rays/ cooking oil, huwezi kuchefua wenzio.Hivi nyie wanaume deodorants ni sh ngapi?
Mkuu mpenzi wako ametisha, bajeti ya subuni kufua boxer kwa mwaka I naweza ikawa jero. Hahahaaaamhh! mue mnafua hata hizo boxer zenu, sio boxer moja mtu avaaaa weee hata mwezi...
hapo Ngalikihinja unamchokoza Eiyer sasa. Unataka kusema wakifika kuungama yeye anazifunua au?
habarini za leo ndg zangu...
jamani leo ninakuja na mada hii kwa wanaume mnaokuwa na harufu KALI, MBAYA za midomo na vikwapa. Mtapata shida sana kukubalika kwa wadada. Hata kwenye madaladala humu utakuta mtu akitoa pumzi tu ni harufu mbaya...sasa ombea uwe umesimama naye kaegesha kwapa lake, ni aibu!!jamani kaka zetu, JIPENDENI...tatizo ni nini?
Sijawahi danganywa in public namna hii!
Ooohh!