excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,862
Wadada hata wakiishi majangwani, kunuka is a rare case.!
Lakini mwanaume akiishi baharini, kunuka ni jadi! Most of us men are not smart in making ourselves smart!
Cc.. lara 1, Heaven on Earth, Chocs, Lady doctor, Passion Lady, ladyfurahia, jamiif

Ni kweli haudanganywi ila habari ndiyo hiyo kwamba kina dada wengi wa kibongo wananuka.
Last edited by a moderator: